Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Chuki mbaya sana mm sijaona tatizo la wao kuondoka labda mleta mada sababu ni mpz mkubwa wcb imemkwaza.Mleta mada huenda ukawa umewaza kitu ambacho hakipo kabisa,siongelei chuki bali naongelea timing ya kuondoka kwa Kiba na Fid.
Fid Q labda kaahidiwa colabo na Kiba ndo maana akafuata mkumbo ila sikuona mantiki ya kuondoka msibani. Nlimuona pia shetta akiwa anagawa chakula wakati huo nae pia akapotezea kama hakuna kitu. Ila kama ni Mimi Harmonize najulkana ni staa basi ningevaa kawaida tu kanzu na bargashia au kitambaa kile cha kichwan then ningewahi tu mapeeema kujumuika na wenzangu, msibani kunakuaga na mambo mengi ya kusaidia hata kugawa chakula kwa wageni kiswazi tunaita waandazi pia kuna kuasaidiana hapa na pale palipopungua.
Nipsey Hussle hakuwa na walinzi alipopigwa risasi? 2 Pac je? Biggie je? Watu wakiamua kukuua wanakuua tu, wanauawa marais wenye convoy za walinzi ndiyo itakuwa Harmonize? Unapaswa kujifunza kusocialize na watu, leo unapojenga ukuta just because wewe ni msanii wa Bongo Fleva, mabodigadi kama wote, dharau na kibri kwa sababu umefanikiwa kidogo ni ushamba! Kwa hiyo kwa akili yako Harmonize ni mkubwa kuliko Ali Kiba?Kwani kuna shida gani msanii akienda na walinzi wake msibani? Lazima tukubali msanii akiwa mkubwa kuna vitu havikwepeki kamwe Harmonize hawezi kuishi kama wewe! Unasema who is Harmonize kutoka moyoni au kwakuwa uko kufurahisha? Hivi unajua hata Mbalamwezi angelikuwa na walinzi pengine yasingelimpata hayo?
Nipsey Hussle hakuwa na walinzi alipopigwa risasi? 2 Pac je? Biggie je? Watu wakiamua kukuua wanakuua tu, wanauawa marais wenye convoy za walinzi ndiyo itakuwa Harmonize? Unapaswa kujifunza kusocialize na watu, leo unapojenga ukuta just because wewe ni msanii wa Bongo Fleva, mabodigadi kama wote, dharau na kibri kwa sababu umefanikiwa kidogo ni ushamba! Kwa hiyo kwa akili yako Harmonize ni mkubwa kuliko Ali Kiba?
Argue rationally, rather than emotionally. Ushabiki mwingine ni hovyo kabisa.hata ngekuwa mie asinge pata mkono dogo ana mambo ya kibwege kaja na msafara aonekane mtu wa maana kumbe bwege tu.
alishindwa nini kuwahi, alichelewa ili aonekane na kamera pumbav sana yaan fid q, ally k wakae ampokee huyo bwege (dharau gani hii) eti mnajificha kwenye (wanamuonea wivu)
huyo bwege hata mie nisie na hela namuona punda tu asa ally k na fid q eti wamtukuze pumbavu zako mtoa bandiko
Nani?Mjinga
kweli asee...yani kaandika uozo uozo tuUmeandika Ujinga.
Wasalaam wana jamvi!
Kama mnavyojua kuwa Alikiba ni mmoja wa wasanii wenye kibri na chuki ambazo zimejificha lakini kama utakuwa una mfatilia mwenendo wake kwenye sanaa utagundua kuwa Alikiba ni mtu mwenye kibri ,majivuno na chuki zisizo za msingi!
Alikiba amekuwa na tabia ya kutumia matukio yanayo kutanisha wasanii wenzake kuendeleza chuki na kibri dhidi ya wasanii wenzie.,....ni kawaida ya Alikiba kutotoa mikono kwa baadhi ya wasanii wenzie hasa wanaotoka wasafi hata wakilazimisha kumsalimu huwa hakubali....
Bado najiuliza hivi Alikiba anaumwa nini?
Lakini hii tabia ya chuki na kibri amesha anza kuwarithisha wasanii wenzie hasa huyu ndugu “Farid Kubanda” tena chuki dhidi ya wasanii wa WCB
Jana kwenye tukio la kumuaga ndugu Mbalamwezi kulitokea tukio ambalo limesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii...
Msanii Harmonize alikwenda msibani na alipofika alianza kuwapa mikono wasanii wenzie na baadhi ya watu walio kuwepo,alipokuwa anaendelea kutoa mikono kabla hajawafikia watukufu Fid q na Alikiba walinyanyuka gafla na kupeana ishara ya kuondoka kiasi kwamba ikazua sintofahamu na watu kuanza kushangaa yani mtu anataka kuwapa mkono wa Pole mnamkimbia ina wasaidia nini?
Fid q na Alikiba nani aliye waroga?
Najua shida ya watu ni jinsi wasanii wa WCB walivyo na walinzi ...Lakini tujiulize ni kweli wasanii wetu hawahitaji walinzi? Na ni kwanini tuchukie watu wakifanikiwa?
Hivi msanii Mbalamwezi angelikuwa na walinzi pengine si tungelijua kilichompata au kisingempata kilicho mpata?
Hivi Kwanini wasanii ndio wanachukia wasanii wenzao? Kwani msanii kufanikiwa ni dhambi? Wasanii wa WCB hawapaswi kwenda misibani kwakuwa wana walinzi au vyombo vya habari vitawafata?
Kwanini hatutaki kukubali kuwa kuna wasanii lazima wafatwe na vyombo vya habari na lazima wawe na walinzi kwakuwa ni wakubwa na hatuwezi kuzuia?
Fid q na Alikiba na kawaroga?

Sema hawa dabiliusibii nao wanapenda sana 'attention', kaja na hao mabodigadi utafikiri labda kuna tishio fulani dhidi ya uhai wake, mbwembwe nyiiingi, watu wapo msibani unakuja na show-off za kishamba, who is Harmonize by the way? Haoni wenzake akina Shetta wapo bize kuhudumia waombolezaje, kawapita moguls Kiba na Fid hapo kama hawaoni, kesho hawahawa ndo unasikia anaumwa sana anahitaji watu wamchangie! Tujifunze kuishi maisha ya kawaida na kuachana na kiki misibani! Shwain!