Fid Q nani kakuloga? Umeanza kurithi ujinga na Chuki za Ali Kiba dhidi ya wasanii wenzake! Walichokifanya msibani ni kitendo cha kijinga na kishamba!


Kwa hiyo kuvaa suti msibani ni kosa?
 
Nipsey Hussle hakuwa na walinzi alipopigwa risasi? 2 Pac je? Biggie je? Watu wakiamua kukuua wanakuua tu, wanauawa marais wenye convoy za walinzi ndiyo itakuwa Harmonize? Unapaswa kujifunza kusocialize na watu, leo unapojenga ukuta just because wewe ni msanii wa Bongo Fleva, mabodigadi kama wote, dharau na kibri kwa sababu umefanikiwa kidogo ni ushamba! Kwa hiyo kwa akili yako Harmonize ni mkubwa kuliko Ali Kiba?
 
hata ngekuwa mie asinge pata mkono dogo ana mambo ya kibwege kaja na msafara aonekane mtu wa maana kumbe bwege tu.

alishindwa nini kuwahi, alichelewa ili aonekane na kamera pumbav sana yaan fid q, ally k wakae ampokee huyo bwege (dharau gani hii) eti mnajificha kwenye (wanamuonea wivu)

huyo bwege hata mie nisie na hela namuona punda tu asa ally k na fid q eti wamtukuze pumbavu zako mtoa bandiko
 

Kwa hiyo sasa ni kosa kuwa na walinzi?
 
Argue rationally, rather than emotionally. Ushabiki mwingine ni hovyo kabisa.
Nani alisema kumpa mtu mkono ni kumtukuza???

Halafu ungetoa mawazo yako bila kutumia lugha chafu yenye kukera kusoma usingeeleweka??
 
Reactions: Qwy
kama kuna watu misukule ni hawa wanaomshabikia diamond na WCB yake. Hawa wanaongoza kwa kulalamika WCB wanaonewa wakati huo wanakwambia wcb ndio imeteka soko la mziki. Yaani upuuzi upuuzi tu
 
Si hekma za mtu anayejitambua. Ni upuzi huu
 

Ngosha anazeeka na umaskin wake, hip hop haiuziii
 
Sema hii nayo point sana big up
 

Kwa sasa hivi mkuu huwez kumlinganisha Ally K na Harmonize, Harmonize kwa sasa yuko juu kimziki kumshnda K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…