Fid Q nani kakuloga? Umeanza kurithi ujinga na Chuki za Ali Kiba dhidi ya wasanii wenzake! Walichokifanya msibani ni kitendo cha kijinga na kishamba!

Upuuzi tu..we ulitaka waondoke muda gani?
 

maadili yetu yapo wapi nikayasome ??

Maadili kwa kiasi kikubwa ni unwritten rules..

Nikuulize wewe , unaweza kumpiga denda Dada yako /Mama yako ?kama huwezi imeandikwa wapi ni marufuku kumpiga denda Dada yako/mama yako ?
 
Wakati Pac anapigwa bomba hakuwa na walinzi, Biggie anapigwa machine hakuwa na walinzi.... Hata huyu Nipsey angekuwa na walinzi asingeuwawa namna ile, ulinzi ni muhimu kwa aisee kwa macelebrit
 
Wakati Pac anapigwa bomba hakuwa na walinzi, Biggie anapigwa machine hakuwa na walinzi.... Hata huyu Nipsey angekuwa na walinzi asingeuwawa namna ile, ulinzi ni muhimu kwa aisee kwa macelebrit
Kwa hiyo walinzi ndiyo wanazuia usiuawe? Na wale marais wote wa Marekani wakati wanauawa nao hawakuwa na walinzi? Na wote wasio na walinzi wanauawa?
 
Kwani Ali Kiba na Fid Q ndio wamefiwa mpaka wapewe mkono wa Pole?
 
Harmonize kama hayo ndiyo maisha yake kwa sasa ya kutembea na walinzi kila mahali yani mpaka kwao akiongea na mamake na ndugu zake wanatakiwa wawepo basi sawa sina swali kwake...ila basi ajue misiba huwa haifanyiwi maigizo,leo wanazika wenzio kesho utazika kwako ndio utajua kero na karaha za hao mabaunsa,makamera kwa sehemu za msibani hasa huku uswahilini kwetu.
 
Naunga mkono hoja
 
Nadhani tatizo lilianzia kwa harmonize kwa jinsi alivoingia msibani na crew ya kutosha. Ulinzi ni jambo la muhimu ila mimi ningeshauri watu WCB wangetakiwa kupunguza crew kubwa hasa ya mabodygurd waendapo kwenye hafla za misiba. Ingependeza zaid angekuwa angalau na mlinzi mmoja alafu angewahi kidgo kuendana na ratiba ya shughuli husika. Hii pia ilitokea kwa Diamond kwenye msiba wa Ruge, ila kikubwa naona wanatakiwa kubadilika hasa katika shughuli za misiba. Ulinzi ni muhimu na ukubwa wao kimzik tension lazma iwepo kwao ila wanaweza kuipunguza kukingana na mazingira ya pahala wanayoenda.
 
Hivi ni Msanii yupi kafariki?

Maana hapa naona msiba umesahaulika mmebaki na Hamorapa sijui hamo nini
 
Mr Nice bila bifu na Dudu Baya asingefanyaje? Nigga you gotta be kidding!
Ile bifu ndio iliyompotezea uwelekeo Mr. Nice na ikamuua Dudu baya kabisa na media ndo zikamfuta Dudubaya kwenye tasnia ya mziki.
 
Mkuu umetoa cheche πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Anyway mkuu nimemis sana yale ma post yako ya tech.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…