Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
maadili yetu yapo wapi nikayasome ??
Wakati Pac anapigwa bomba hakuwa na walinzi, Biggie anapigwa machine hakuwa na walinzi.... Hata huyu Nipsey angekuwa na walinzi asingeuwawa namna ile, ulinzi ni muhimu kwa aisee kwa macelebritNipsey Hussle hakuwa na walinzi alipopigwa risasi? 2 Pac je? Biggie je? Watu wakiamua kukuua wanakuua tu, wanauawa marais wenye convoy za walinzi ndiyo itakuwa Harmonize? Unapaswa kujifunza kusocialize na watu, leo unapojenga ukuta just because wewe ni msanii wa Bongo Fleva, mabodigadi kama wote, dharau na kibri kwa sababu umefanikiwa kidogo ni ushamba! Kwa hiyo kwa akili yako Harmonize ni mkubwa kuliko Ali Kiba?
Kwa hiyo walinzi ndiyo wanazuia usiuawe? Na wale marais wote wa Marekani wakati wanauawa nao hawakuwa na walinzi? Na wote wasio na walinzi wanauawa?Wakati Pac anapigwa bomba hakuwa na walinzi, Biggie anapigwa machine hakuwa na walinzi.... Hata huyu Nipsey angekuwa na walinzi asingeuwawa namna ile, ulinzi ni muhimu kwa aisee kwa macelebrit
Haha wewe jamaa bhana sema ukweli unajua nn kitatokea ila ukweli umeamua kuukalia kisa chuki....Kwa hiyo walinzi ndiyo wanazuia usiuawe? Na wale marais wote wa Marekani wakati wanauawa nao hawakuwa na walinzi? Na wote wasio na walinzi wanauawa?
Wasalaam wana jamvi!
Kama mnavyojua kuwa Alikiba ni mmoja wa wasanii wenye kibri na chuki ambazo zimejificha lakini kama utakuwa una mfatilia mwenendo wake kwenye sanaa utagundua kuwa Alikiba ni mtu mwenye kibri ,majivuno na chuki zisizo za msingi!
Alikiba amekuwa na tabia ya kutumia matukio yanayo kutanisha wasanii wenzake kuendeleza chuki na kibri dhidi ya wasanii wenzie.,....ni kawaida ya Alikiba kutotoa mikono kwa baadhi ya wasanii wenzie hasa wanaotoka wasafi hata wakilazimisha kumsalimu huwa hakubali....
Bado najiuliza hivi Alikiba anaumwa nini?
Lakini hii tabia ya chuki na kibri amesha anza kuwarithisha wasanii wenzie hasa huyu ndugu “Farid Kubanda” tena chuki dhidi ya wasanii wa WCB
Jana kwenye tukio la kumuaga ndugu Mbalamwezi kulitokea tukio ambalo limesambaa sana kwenye mitandao ya kijamii...
Msanii Harmonize alikwenda msibani na alipofika alianza kuwapa mikono wasanii wenzie na baadhi ya watu walio kuwepo,alipokuwa anaendelea kutoa mikono kabla hajawafikia watukufu Fid q na Alikiba walinyanyuka gafla na kupeana ishara ya kuondoka kiasi kwamba ikazua sintofahamu na watu kuanza kushangaa yani mtu anataka kuwapa mkono wa Pole mnamkimbia ina wasaidia nini?
Fid q na Alikiba nani aliye waroga?
Najua shida ya watu ni jinsi wasanii wa WCB walivyo na walinzi ...Lakini tujiulize ni kweli wasanii wetu hawahitaji walinzi? Na ni kwanini tuchukie watu wakifanikiwa?
Hivi msanii Mbalamwezi angelikuwa na walinzi pengine si tungelijua kilichompata au kisingempata kilicho mpata?
Hivi Kwanini wasanii ndio wanachukia wasanii wenzao? Kwani msanii kufanikiwa ni dhambi? Wasanii wa WCB hawapaswi kwenda misibani kwakuwa wana walinzi au vyombo vya habari vitawafata?
Kwanini hatutaki kukubali kuwa kuna wasanii lazima wafatwe na vyombo vya habari na lazima wawe na walinzi kwakuwa ni wakubwa na hatuwezi kuzuia?
Fid q na Alikiba na kawaroga?
Ha ha ha ha.....! You've made my day.Alikiba ana Wivu sema ndio hivyo hapendi watu wajue maana mambo yake kimya kimya....Si umeona alivyokuwa anaondoka ana mabodigadi kibao sema hataki watu wawaone.
Mnao support huyo konde boy ni wapumbavu kiwango cha Lami kama una chuki na kiba Sema mengine lakin sio kuhalalisha aliyoyafanya Konde boya huwez kwenda msiban ghafla na ma body guard na waandishi halafu watu waanza kuambiwa wawapishe shughuli yenyewe ipi uswahili misiba hii ya kiislam hainaga hata pa kukaa VIP umeenda kuleta vurugu...mtoto wa kiislam marangi kichwan....kama unamkubali mtu mkubali kwa kazi zake na kama unamchukia mtu mchukie kwa kaz zake, Kina kiba alionesha uungwana kumuachia uwanja jamaa afanya yaliyomleta sababu walikuwepo pale muda wote na palikuwa pametulia tu..!..usihalalishe hata upumbavu sababu tu mtu unampenda Konde boya namkubali ila alichofanya sio ubinadamu ile sio shighuli ya lwenda kufanya show off hana u star wa mtu kumvizia had misiban
Alikiba ana Wivu sema ndio hivyo hapendi watu wajue maana mambo yake kimya kimya....Si umeona alivyokuwa anaondoka ana mabodigadi kibao sema hataki watu wawaone.
Ile bifu ndio iliyompotezea uwelekeo Mr. Nice na ikamuua Dudu baya kabisa na media ndo zikamfuta Dudubaya kwenye tasnia ya mziki.Mr Nice bila bifu na Dudu Baya asingefanyaje? Nigga you gotta be kidding!
Mkuu umetoa cheche 😂😂😂😂😂 Anyway mkuu nimemis sana yale ma post yako ya tech.Sema hawa dabiliusibii nao wanapenda sana 'attention', kaja na hao mabodigadi utafikiri labda kuna tishio fulani dhidi ya uhai wake, mbwembwe nyiiingi, watu wapo msibani unakuja na show-off za kishamba, who is Harmonize by the way? Haoni wenzake akina Shetta wapo bize kuhudumia waombolezaje, kawapita moguls Kiba na Fid hapo kama hawaoni, kesho hawahawa ndo unasikia anaumwa sana anahitaji watu wamchangie! Tujifunze kuishi maisha ya kawaida na kuachana na kiki misibani! Shwain!
Hahaaa! Pamoja sana mkuu, tena umenikumbusha ngoja niingie kwenye makabrashaMkuu umetoa cheche 😂😂😂😂😂 Anyway mkuu nimemis sana yale ma post yako ya tech.