kende
JF-Expert Member
- Dec 2, 2013
- 3,527
- 1,668
Nimefatilia mahojiano mengi ya wasanii wa Hiphop Bongo kwenye Redios/Tvs, wakiulizwa msanii gani wa Hiphop unayemkubali Bongo zaidi ya 60% huwa wanamtaja Fid Q, nilikuwa nategemea watu kama Profesa Jay/Sugu/Afande/Jay Mo/FA/Solo Thang wangekuwa nao wanatajwa tajwa kama watu waliowa-inspire wasanii wapya but sivyo, only Fid ndo anadominate.
Pia nilidhani hawa wasanii wa juzi tu (wapya) ndo wanamkubali kumbe hata wakongwe, leo nimemsikia Solo Thang akihojiwa Clouds akamtaja Fid Q ndo msanii anayemfatilia zaidi akiwa nje. Hii inaleta picha gani, kwamba Fid Q ndio the best kwa miaka yote kwenye Hiphop (King)?