FID Q ni mfalme?

FID Q ni mfalme?

kende

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
3,527
Reaction score
1,668
Nimefatilia mahojiano mengi ya wasanii wa Hiphop Bongo kwenye Redios/Tvs, wakiulizwa msanii gani wa Hiphop unayemkubali Bongo zaidi ya 60% huwa wanamtaja Fid Q, nilikuwa nategemea watu kama Profesa Jay/Sugu/Afande/Jay Mo/FA/Solo Thang wangekuwa nao wanatajwa tajwa kama watu waliowa-inspire wasanii wapya but sivyo, only Fid ndo anadominate.

Pia nilidhani hawa wasanii wa juzi tu (wapya) ndo wanamkubali kumbe hata wakongwe, leo nimemsikia Solo Thang akihojiwa Clouds akamtaja Fid Q ndo msanii anayemfatilia zaidi akiwa nje. Hii inaleta picha gani, kwamba Fid Q ndio the best kwa miaka yote kwenye Hiphop (King)?
 
Never.....namheshimu ......lakini kwa sisi wakongwe toka enzi tunanunua albamu ya Wagumu Weusi Asilia unatutania......FID Q amekopi staili ya kuchana kutoka kwa Mapacha a.k.a Maujanja supplier ingawa yeye amekuwa mjanja katika principal ya kula na kipofu kuliko Mapacha.....unajua historia ya Mapacha na FID Q?
 
siijui...!
 
mi sio super star ni national icon/am internationally known kama tyson fid q "jamaa ni msanii mzuri na anaeleweka na pia king kiukweli hakuna rapper asie mwelewa jamaa na ukitaka amini ilo angalia wakina makala ambao kwa hiphop yao AR wanafahamika kama wafalme wanamrespect japo asilimia kubwa wanao mpinga ni mashabiki wa weusi ukiacha apo ni role model wa wasanii chipukizi na wakongwe wasanii wachanga
 
Inawezekana asiwe ni King of all Time lakini kwenye top 5 ya King's wa Hip Hop bongo sidhani kama atakosekana.
 
Fid ni miongon mwa great thinker waliopo ktk muziki!!!
 
Back
Top Bottom