Fid Q, Nilistahili Kushinda Tuzo ya Kill

miaka aliyostahili kupewa hakupewa mwaka ambao hastahili kupewa ndo amepewa
 
so ruge na demu wake wanampa jaydee tuzo kila mwaka?

mie nazungumzia event ya kutoa tuzo ndio hana time nayo...ata ivyo izo tuzo zenyewe hazina fairness ndio maana watu wanabembelezwa , km hazitaki kwa nn wanambembeleza? hajawahi ata siku moja kuomba kura kwa mshabiki wala kuzungumzia izo tuzo si wamwache tu...au mpaka aseme ili haonekane mshari? au ndio jina lake liwepo ili kuzipa ushawishi.
 
Mkuu nimekukubali unaijua hip hop,Joh Makini haimbi hip hop ana rap tu.

Hahahaaaa. Cheka sana!! Ila ukwel Fid ni real rapr ila ile tuzo naiita kiinua mgongo coz haikuwa right place
 
Fid Q alistahili though tuzo zenyewe ni za kujuana.
 
We ndio hujui kitu John makin ana rapa kama akina Ally choki au marapa wengine wa kwenye sebene,kama hujui kitu omba watalaam wakujuze.

Yeah na ndio maana hata kwenye stimu zimelipiwa kaimba... " Your now rocking with best rapper best mcee,
am overpick the kilimanjaro i can see,
not only you even your favourite emcee,
They have no choice they try na be like me."
 
Hujui kitu mkuu, hujui hip hop. U much know ndiyo umekukaa kwenye akili yako. Fid q kapewa tu kwa sababu walimbania miaka ya nyuma. Lakini uhalisia fid q hakustahili hata category.

kwa miaka ya nyuma sawa ila kwa mwaka huu fid hakustahili
 
Hahahaaaa. Cheka sana!! Ila ukwel Fid ni real rapr ila ile tuzo naiita kiinua mgongo coz haikuwa right place

it waz right place but not right time, fid ni zilipendwa
 
so ruge na demu wake wanampa jaydee tuzo kila mwaka?


Mkuu mr gentleman mbona hili swali unalikwepa kwamba Ruge na Demu wake ndio wanampa tuzo Jide kila mwaka?? Na mbona hajawahi kuzirudisha? Mwaka jana aliyepokea ile tuzo alikuwa ni Gadner Habash mme wake na Jide naye anashilikiana na akina Ruge? huwezi kuandaa Kili Music Tour bila kuwasiliana na anayeandaa #KTMA
 
Last edited by a moderator:
Naomba unipe somo kidogo. FidQ kawa msanii bora hiphop wa mwaka 2013/2014 kwa wimbo wake wa "i am a professional", au sio.. Lakini huu wimbo mbona sio wa huu mwaka, infact niwa kitambo kidogo?
Au mimi ndo sielewi mambo haya? Cc Money Stunna

mmmh ila hapo had mm nilishangaa!
 
Last edited by a moderator:
co huruma ya mashabik jombaa n huruma ya watayarishaji wa ktm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…