mr gentleman
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 3,222
- 4,689
huyo demu wa ruge ndo aliyempa hizo tuzo?
Ndio anayeratibu zoezi zima.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
huyo demu wa ruge ndo aliyempa hizo tuzo?
Napenda sana hip hop, ila nyimbo za FidQ mara nyingi sizielawagi.
ndio anayeratibu zoezi zima.
so ruge na demu wake wanampa jaydee tuzo kila mwaka?
Mkuu nimekukubali unaijua hip hop,Joh Makini haimbi hip hop ana rap tu.
We ndio hujui kitu John makin ana rapa kama akina Ally choki au marapa wengine wa kwenye sebene,kama hujui kitu omba watalaam wakujuze.
Hujui kitu mkuu, hujui hip hop. U much know ndiyo umekukaa kwenye akili yako. Fid q kapewa tu kwa sababu walimbania miaka ya nyuma. Lakini uhalisia fid q hakustahili hata category.
Hahahaaaa. Cheka sana!! Ila ukwel Fid ni real rapr ila ile tuzo naiita kiinua mgongo coz haikuwa right place
miaka aliyostahili kupewa hakupewa mwaka ambao hastahili kupewa ndo amepewa
so ruge na demu wake wanampa jaydee tuzo kila mwaka?
mie nazungumzia event ya kutoa tuzo ndio hana time nayo...ata ivyo izo tuzo zenyewe hazina fairness ndio maana watu wanabembelezwa , km hazitaki kwa nn wanambembeleza? hajawahi ata siku moja kuomba kura kwa mshabiki wala kuzungumzia izo tuzo si wamwache tu...au mpaka aseme ili haonekane mshari? au ndio jina lake liwepo ili kuzipa ushawishi.
miaka aliyostahili kupewa hakupewa mwaka ambao hastahili kupewa ndo amepewa
Naomba unipe somo kidogo. FidQ kawa msanii bora hiphop wa mwaka 2013/2014 kwa wimbo wake wa "i am a professional", au sio.. Lakini huu wimbo mbona sio wa huu mwaka, infact niwa kitambo kidogo?
Au mimi ndo sielewi mambo haya? Cc Money Stunna
co huruma ya mashabik jombaa n huruma ya watayarishaji wa ktmUshindi wa Tunzo ya msanii bora wa Hip Hop wa Fid Q kiuhalisia umetokana na yeye kufanyiwa campaign kubwa na marafiki wasanii, watu wa media na mashabiki walioona Fid Q hakushinda Tunzo miaka ya nyuma lakini si kwamba yeye ndio mwanaHip Hop bora wa mwaka 2013 may be ya mtunzi bora. Ngoja nikupe sababu kwa mtizamo wangu lakini. Ili ushinde Tuzo hiyo inabidi uwe umefanya ngoma ambazo ni heats zaidi ya wenzako. Kushirikishwa katika ngoma mbali mbali ambazo ni heats, kufanya shows nyingi zaidi ya wenzako n.k hayo yote kwa ujumla ndo kigezo kikubwa cha mtu kuweza kushinda. Kwa mwaka 2013 Fid Q ametoa ngoma moja tu ya siri ya mtungi ft Juma Nature, ambayo pia ilikua katika category ya nyimbo bora ya Hip na haikushinda. Kwa wafuatiliaji wa Hip Hop hamtabisha kua ngoma hiyo haikupata airtime ya kutosha. Kosa ambalo KTMA walifanya sijui kwa nini ni kutomuweka Joh Makini in nomination ya msanii bora wa Hip Hop. Haijalishi wanaosema Joh hafanyi Hip Hop lakini mziki anaofanya according to KTMA ni Hip Hop(not according to Hardcore Hip Hop lovers). Kwangu Joh Makini ndo msanii bora wa Hip Hop 2013 kwa nini? According to Dj Choka ni kua Joh Makini ni msanii wa Hip Hop aliefanya show nyingi zaidi kwa mwaka 2013 kuliko mwanaHipHop yoyote. Joh Makini kwa mwaka 2013 amefanya ngoma kali kama Sijutii na Nikumbatie pia amefanya ngoma ambazo zimeingia kwenye nominations KTMA ambazo ni Bei ya mkaa na Nje ya Box(imeshinda nyimbo bora ya Hip Hop), pia kundi lake la WEUSI lilikua kwenye nomination za kundi bora la mwaka-kizazi kipya (likashinda). Kwa sababu za Hapo juu Joh Makini ndo alistahili kuwa msanii bora wa Hip Hop 2013. Fid Q alishinda kwa huruma tu za mashabiki tu