Fid Q, Nilistahili Kushinda Tuzo ya Kill

Fid Q, Nilistahili Kushinda Tuzo ya Kill

miaka aliyostahili kupewa hakupewa mwaka ambao hastahili kupewa ndo amepewa
 
so ruge na demu wake wanampa jaydee tuzo kila mwaka?

mie nazungumzia event ya kutoa tuzo ndio hana time nayo...ata ivyo izo tuzo zenyewe hazina fairness ndio maana watu wanabembelezwa , km hazitaki kwa nn wanambembeleza? hajawahi ata siku moja kuomba kura kwa mshabiki wala kuzungumzia izo tuzo si wamwache tu...au mpaka aseme ili haonekane mshari? au ndio jina lake liwepo ili kuzipa ushawishi.
 
Mkuu nimekukubali unaijua hip hop,Joh Makini haimbi hip hop ana rap tu.

Hahahaaaa. Cheka sana!! Ila ukwel Fid ni real rapr ila ile tuzo naiita kiinua mgongo coz haikuwa right place
 
Fid Q alistahili though tuzo zenyewe ni za kujuana.
 
We ndio hujui kitu John makin ana rapa kama akina Ally choki au marapa wengine wa kwenye sebene,kama hujui kitu omba watalaam wakujuze.

Yeah na ndio maana hata kwenye stimu zimelipiwa kaimba... " Your now rocking with best rapper best mcee,
am overpick the kilimanjaro i can see,
not only you even your favourite emcee,
They have no choice they try na be like me."
 
Hujui kitu mkuu, hujui hip hop. U much know ndiyo umekukaa kwenye akili yako. Fid q kapewa tu kwa sababu walimbania miaka ya nyuma. Lakini uhalisia fid q hakustahili hata category.

kwa miaka ya nyuma sawa ila kwa mwaka huu fid hakustahili
 
Hahahaaaa. Cheka sana!! Ila ukwel Fid ni real rapr ila ile tuzo naiita kiinua mgongo coz haikuwa right place

it waz right place but not right time, fid ni zilipendwa
 
so ruge na demu wake wanampa jaydee tuzo kila mwaka?

mie nazungumzia event ya kutoa tuzo ndio hana time nayo...ata ivyo izo tuzo zenyewe hazina fairness ndio maana watu wanabembelezwa , km hazitaki kwa nn wanambembeleza? hajawahi ata siku moja kuomba kura kwa mshabiki wala kuzungumzia izo tuzo si wamwache tu...au mpaka aseme ili haonekane mshari? au ndio jina lake liwepo ili kuzipa ushawishi.

Mkuu mr gentleman mbona hili swali unalikwepa kwamba Ruge na Demu wake ndio wanampa tuzo Jide kila mwaka?? Na mbona hajawahi kuzirudisha? Mwaka jana aliyepokea ile tuzo alikuwa ni Gadner Habash mme wake na Jide naye anashilikiana na akina Ruge? huwezi kuandaa Kili Music Tour bila kuwasiliana na anayeandaa #KTMA
 
Last edited by a moderator:
Naomba unipe somo kidogo. FidQ kawa msanii bora hiphop wa mwaka 2013/2014 kwa wimbo wake wa "i am a professional", au sio.. Lakini huu wimbo mbona sio wa huu mwaka, infact niwa kitambo kidogo?
Au mimi ndo sielewi mambo haya? Cc Money Stunna

mmmh ila hapo had mm nilishangaa!
 
Last edited by a moderator:
Ushindi wa Tunzo ya msanii bora wa Hip Hop wa Fid Q kiuhalisia umetokana na yeye kufanyiwa campaign kubwa na marafiki wasanii, watu wa media na mashabiki walioona Fid Q hakushinda Tunzo miaka ya nyuma lakini si kwamba yeye ndio mwanaHip Hop bora wa mwaka 2013 may be ya mtunzi bora. Ngoja nikupe sababu kwa mtizamo wangu lakini. Ili ushinde Tuzo hiyo inabidi uwe umefanya ngoma ambazo ni heats zaidi ya wenzako. Kushirikishwa katika ngoma mbali mbali ambazo ni heats, kufanya shows nyingi zaidi ya wenzako n.k hayo yote kwa ujumla ndo kigezo kikubwa cha mtu kuweza kushinda. Kwa mwaka 2013 Fid Q ametoa ngoma moja tu ya siri ya mtungi ft Juma Nature, ambayo pia ilikua katika category ya nyimbo bora ya Hip na haikushinda. Kwa wafuatiliaji wa Hip Hop hamtabisha kua ngoma hiyo haikupata airtime ya kutosha. Kosa ambalo KTMA walifanya sijui kwa nini ni kutomuweka Joh Makini in nomination ya msanii bora wa Hip Hop. Haijalishi wanaosema Joh hafanyi Hip Hop lakini mziki anaofanya according to KTMA ni Hip Hop(not according to Hardcore Hip Hop lovers). Kwangu Joh Makini ndo msanii bora wa Hip Hop 2013 kwa nini? According to Dj Choka ni kua Joh Makini ni msanii wa Hip Hop aliefanya show nyingi zaidi kwa mwaka 2013 kuliko mwanaHipHop yoyote. Joh Makini kwa mwaka 2013 amefanya ngoma kali kama Sijutii na Nikumbatie pia amefanya ngoma ambazo zimeingia kwenye nominations KTMA ambazo ni Bei ya mkaa na Nje ya Box(imeshinda nyimbo bora ya Hip Hop), pia kundi lake la WEUSI lilikua kwenye nomination za kundi bora la mwaka-kizazi kipya (likashinda). Kwa sababu za Hapo juu Joh Makini ndo alistahili kuwa msanii bora wa Hip Hop 2013. Fid Q alishinda kwa huruma tu za mashabiki tu
co huruma ya mashabik jombaa n huruma ya watayarishaji wa ktm
 
Back
Top Bottom