Nucky Thompson
JF-Expert Member
- Sep 20, 2016
- 1,817
- 4,061
wewe ndio mpuuzi,fid kasema kuingiza wazazi ni ujinga.pambaneni wenyewe achanen na wazaz
Nabii selemani msindi kumbe alishaliona hili zaidi miaka ilopitamnapenda kulumbana na mnapenda tukanana,
mi nnaogopa sana, kwa hali jinsi ilivyo mwishowe mtaja chinjana,
na sote tunaorap tuonekane hatuna maana.
wapi ilipo taarabu, ilikuja kwa kishindo hadi wagumu wakahusudu, lakini kwa malumbano mwishoe ikafa kibudu.
by Afande sele Mtazamo
kama kamla kwelii jee? kwaiyo kueka wazi ndo kadhalilishwa[emoji23].....mwache apambane na hali yake vita c kaianzisha mwenyewe!! kwani ommy alimchagulia tusii?wewe ndio mpuuzi,fid kasema kuingiza wazazi ni ujinga.pambaneni wenyewe achanen na wazaz
Huyo nasema mpuuz kwa sasa kwanin alishindwa kumshaur mond ishu ya kumtukana mwenzie kwa dis song yake ile huwez kuita mwenzio shoga afu utalajie akujibu kistarabu ommy kafanya sahihi tu .(kumbuka hata mama wa ommy kadhalilishwa kwa mwanaye kuitwa shoga)wewe ndio mpuuzi,fid kasema kuingiza wazazi ni ujinga.pambaneni wenyewe achanen na wazaz
Huyu jamaa hapa anajifunga kwa maneno yake na dhahiri inaonekana alielewa vizuri tu kuwa hili neno sindelela linalenga wapiFdq nimekuelewa lkn kweli uliposikia cindelela hukuelewa ama ndo unatupiga fx za kihphop
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukianzisha vita usinichagulie silaha!Juu ya Mama yake Ommy pia au!?