Fid Q: Ommy Dimpoz amefanya hadi nauchukia wimbo wangu wa Fresh

Fid Q: Ommy Dimpoz amefanya hadi nauchukia wimbo wangu wa Fresh

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
1,817
Reaction score
4,061
Msanii wa Hip Hop Fid Q amedai msanii Omy Dimpoz amefanya jambo la hovyo sana kiasi kwamba hadi sasa haupendi wimbo wake wa fresh
Ommy Dimpoz alitupia picha akiwa na mama Diamond na kuandika maneno ya kumdhalilisha
kitu ambacho fid Q hakutegemea kufika huko kwa kuwa muziki ni burudani na msanii kumdiss mwingine kupitia muziki kunachangamsha game ila sio kutukana wazazi

 
mnapenda kulumbana na mnapenda tukanana,
mi nnaogopa sana, kwa hali jinsi ilivyo mwishowe mtaja chinjana,
na sote tunaorap tuonekane hatuna maana.

wapi ilipo taarabu, ilikuja kwa kishindo hadi wagumu wakahusudu, lakini kwa malumbano mwishoe ikafa kibudu.

by Afande sele Mtazamo
 
mnapenda kulumbana na mnapenda tukanana,
mi nnaogopa sana, kwa hali jinsi ilivyo mwishowe mtaja chinjana,
na sote tunaorap tuonekane hatuna maana.

wapi ilipo taarabu, ilikuja kwa kishindo hadi wagumu wakahusudu, lakini kwa malumbano mwishoe ikafa kibudu.

by Afande sele Mtazamo
Nabii selemani msindi kumbe alishaliona hili zaidi miaka ilopita

Bless I
 
wewe ndio mpuuzi,fid kasema kuingiza wazazi ni ujinga.pambaneni wenyewe achanen na wazaz
Huyo nasema mpuuz kwa sasa kwanin alishindwa kumshaur mond ishu ya kumtukana mwenzie kwa dis song yake ile huwez kuita mwenzio shoga afu utalajie akujibu kistarabu ommy kafanya sahihi tu .(kumbuka hata mama wa ommy kadhalilishwa kwa mwanaye kuitwa shoga)
 
Fdq nimekuelewa lkn kweli uliposikia cindelela hukuelewa ama ndo unatupiga fx za kihphop

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu jamaa hapa anajifunga kwa maneno yake na dhahiri inaonekana alielewa vizuri tu kuwa hili neno sindelela linalenga wapi
1. Anasema hafuatilia bongo fleva wakati hapohapo ana mstari wake na analijua kuwa kuna kiba na mond na ni wa pinzani wa hali juu na akawaongelea kwenye mistari yake sasa unasema huifuatilia bongo fleva lakini anajua A Z za mond na kiba kupitia kazi zao
2. Anasema alielewa kuwa sindelela ni binti lakin nahisi alifaham kuna kitu kimefichwa na inalenga upande wa pili maana amesema ye ni bingwa wa kuficha white ama kutumia lugha ya pool table maana ake mistar yake huwa inatafsir mbilimbili nazani hata alipomsikia mond alielewa vizuri tu

Mond asingejibu tweet ya jamaa kwa kurap mara ingine angetulia tu na ile tweet ya kiba ingeonekana kawaida tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fid Q asituchanganye hata kidogo, anajua kabisa kuwa kuna underground bifu kati ya hao watu, alikuwa anajua wazi content zima ya ile Ngoma. Kosa alilolifanya ni kumruhusu Diamond kutumia ngoma yake kama dis track. Alichokitegema yeye ni kwamba itaenda cool on contraly it wasn't.

Naona unawasha moto na hauna kibiriti we mtoto, chokaza wana wakuwashie moto( Young killer).
 
Back
Top Bottom