Tatizo la wasanii wengi wanafiki, wanajifanya kuumizwa na kilichofanywa na Dimpoz kumbe hamna kitu. Ommy katupa bomu moja katulia, watu wanamwaga mapovu tuu..
Mkizingua tena anatuma ya Bi Sandra akiwa na kapichu huku ananyonya gegedo la Ommy.. Mamaee mbwa kala mbwa!!
Kila mtu na life style yake. Ww kama unalala saa mbili usimshangae anaelala saa sita ishi utakavyo ili mradi usivunje sheria ya nchi.maza nae mcharuko yule!acha atukanwe tu nyoko yake!mbona wamama wengine hawana kiherehere km yeye wametuliaaa km mamaake kiba
Sent using Jamii Forums mobile app
Domo ndo NANI?Kwenye fresh remix kuna mzaz wa mtu katukanwa au kufedheheshwa diss zipo kwnye mziki hata mbele wanadisiana lakin hutoona kajibu kwa kuingiza wazaz. Domo siyo mtu wa kwanza kudisi msanii mwenzie.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye fresh remix ommy hajdisiwaKwahiyo ye kumuita shoga hakumdhalilisha?? Yaani huyo fid naye mbuzi tu mxiuu
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaanzisha vita halafu unichagulie silaha? Vita ni vita Mura
Lexus Mayai
Wimbo wa afande sele huo
Fita ni Fita Mura. Kwenye vita utafanya juu chini kumpa adui pigo kubwa zaidiJuu ya Mama yake Ommy pia au!?
Labda ww hujaisikiliza vizuri rudi kasikilize upya ommy hajadisiwa umo.
Sasa inakuhusu nin akimuhusisha?Acha wapambane na hali zao!Umeanzisha vita,usinichagulie silaha!Kumegwa siyo kesi unaweza kuta hata bibi mdash wako anamegeka tu kitaani na wana, wengne wadogo zaidi yako. Kesi iliyopo ni domo kamdis ommy, so ommy angedili na domo personally maswala ya kumuhusisha bi mdashi hayakuwa na mantiki kama kamla bi mkubwa wanajuana wenyewe mm hainihusu swala ni kwa nn umuhisishw mtu ambaye hahusiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Watu wanapenda Rap ila rap haiwapenDi!!mnapenda kulumbana na mnapenda tukanana,
mi nnaogopa sana, kwa hali jinsi ilivyo mwishowe mtaja chinjana,
na sote tunaorap tuonekane hatuna maana.
wapi ilipo taarabu, ilikuja kwa kishindo hadi wagumu wakahusudu, lakini kwa malumbano mwishoe ikafa kibudu.
by Afande sele Mtazamo
Hapo sasaHuyu jamaa hapa anajifunga kwa maneno yake na dhahiri inaonekana alielewa vizuri tu kuwa hili neno sindelela linalenga wapi
1. Anasema hafuatilia bongo fleva wakati hapohapo ana mstari wake na analijua kuwa kuna kiba na mond na ni wa pinzani wa hali juu na akawaongelea kwenye mistari yake sasa unasema huifuatilia bongo fleva lakini anajua A Z za mond na kiba kupitia kazi zao
2. Anasema alielewa kuwa sindelela ni binti lakin nahisi alifaham kuna kitu kimefichwa na inalenga upande wa pili maana amesema ye ni bingwa wa kuficha white ama kutumia lugha ya pool table maana ake mistar yake huwa inatafsir mbilimbili nazani hata alipomsikia mond alielewa vizuri tu
Mond asingejibu tweet ya jamaa kwa kurap mara ingine angetulia tu na ile tweet ya kiba ingeonekana kawaida tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ninavyo faham kwenye maisha huez kwenda on da right way always so fdq hapa alipotea njia akubali akataeFid Q asituchanganye hata kidogo, anajua kabisa kuwa kuna underground bifu kati ya hao watu, alikuwa anajua wazi content zima ya ile Ngoma. Kosa alilolifanya ni kumruhusu Diamond kutumia ngoma yake kama dis track. Alichokitegema yeye ni kwamba itaenda cool on contraly it wasn't.
Naona unawasha moto na hauna kibiriti we mtoto, chokaza wana wakuwashie moto( Young killer).
Ushaambiwa ukianzisha vita na mimi usinichagulie aina ya silaha ya kutumia. Huyo Domo alianzisha utaahira akajibiwa uzezeta. Tuwaache wayamalize kama walivyoyaanzisha.Domo angejibu kwa kumtukania dimpoz kwa mama ake nahisi insta pangechafuka watu tunashangilia ujinga kutaniana kupo mbona kiba alimjib domo kwa kumuita malikia wa nguvu watu hawajamaind lakini unahisi ni kw nini ommy kaleta mtafaruku kw sababu kamhusisha mtu aziyehusika yeye angedili na domo personally siyo kuingiza wazaz.
Sent using Jamii Forums mobile app