Fid Q: Ommy Dimpoz amefanya hadi nauchukia wimbo wangu wa Fresh

Fid Q: Ommy Dimpoz amefanya hadi nauchukia wimbo wangu wa Fresh

Tatizo la wasanii wengi wanafiki, wanajifanya kuumizwa na kilichofanywa na Dimpoz kumbe hamna kitu. Ommy katupa bomu moja katulia, watu wanamwaga mapovu tuu..

Mkizingua tena anatuma ya Bi Sandra akiwa na kapichu huku ananyonya gegedo la Ommy.. Mamaee mbwa kala mbwa!!
IMG_sc65x1.jpg

Jamani jamaniiiiii

May Allah bless Me and You
 
Kumegwa siyo kesi unaweza kuta hata bibi mdash wako anamegeka tu kitaani na wana, wengne wadogo zaidi yako. Kesi iliyopo ni domo kamdis ommy, so ommy angedili na domo personally maswala ya kumuhusisha bi mdashi hayakuwa na mantiki kama kamla bi mkubwa wanajuana wenyewe mm hainihusu swala ni kwa nn umuhisishw mtu ambaye hahusiki.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa inakuhusu nin akimuhusisha?Acha wapambane na hali zao!Umeanzisha vita,usinichagulie silaha!
 
mnapenda kulumbana na mnapenda tukanana,
mi nnaogopa sana, kwa hali jinsi ilivyo mwishowe mtaja chinjana,
na sote tunaorap tuonekane hatuna maana.

wapi ilipo taarabu, ilikuja kwa kishindo hadi wagumu wakahusudu, lakini kwa malumbano mwishoe ikafa kibudu.

by Afande sele Mtazamo
Watu wanapenda Rap ila rap haiwapenDi!!
AfanDe vs O ten tifu lao pia lilikua si la kitoto ingawa hli Goma lilitoka b4
"Hvi lazima wote tuwe wana Muziki??Hii line ina Maana sana fid kasema issues km Body of work,Vocal presence,Industry Impact,Skills n VERSATILITY,Sanaa ya mziki si kujua kuimba /Kuchana tu,Hiphop ina knowledge pana Sn ila ni fikra nDogo za baadhi ya watu wanaona ni Mziki wa watu fulani tu,JIFUNZENI muepuke Ujinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu jamaa hapa anajifunga kwa maneno yake na dhahiri inaonekana alielewa vizuri tu kuwa hili neno sindelela linalenga wapi
1. Anasema hafuatilia bongo fleva wakati hapohapo ana mstari wake na analijua kuwa kuna kiba na mond na ni wa pinzani wa hali juu na akawaongelea kwenye mistari yake sasa unasema huifuatilia bongo fleva lakini anajua A Z za mond na kiba kupitia kazi zao
2. Anasema alielewa kuwa sindelela ni binti lakin nahisi alifaham kuna kitu kimefichwa na inalenga upande wa pili maana amesema ye ni bingwa wa kuficha white ama kutumia lugha ya pool table maana ake mistar yake huwa inatafsir mbilimbili nazani hata alipomsikia mond alielewa vizuri tu

Mond asingejibu tweet ya jamaa kwa kurap mara ingine angetulia tu na ile tweet ya kiba ingeonekana kawaida tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fid Q asituchanganye hata kidogo, anajua kabisa kuwa kuna underground bifu kati ya hao watu, alikuwa anajua wazi content zima ya ile Ngoma. Kosa alilolifanya ni kumruhusu Diamond kutumia ngoma yake kama dis track. Alichokitegema yeye ni kwamba itaenda cool on contraly it wasn't.

Naona unawasha moto na hauna kibiriti we mtoto, chokaza wana wakuwashie moto( Young killer).
Kwa ninavyo faham kwenye maisha huez kwenda on da right way always so fdq hapa alipotea njia akubali akatae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimielewa Fid Q, hakukuwa na haja ya Dimpozz kwenda that personal, angechukua biti la mtu nae amjibie studio.
 
Domo angejibu kwa kumtukania dimpoz kwa mama ake nahisi insta pangechafuka watu tunashangilia ujinga kutaniana kupo mbona kiba alimjib domo kwa kumuita malikia wa nguvu watu hawajamaind lakini unahisi ni kw nini ommy kaleta mtafaruku kw sababu kamhusisha mtu aziyehusika yeye angedili na domo personally siyo kuingiza wazaz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ushaambiwa ukianzisha vita na mimi usinichagulie aina ya silaha ya kutumia. Huyo Domo alianzisha utaahira akajibiwa uzezeta. Tuwaache wayamalize kama walivyoyaanzisha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
FID Q AMEHARIBU KUKUBALI NYIMBO YAKE KUTUMIKA KUDISS WATU JAPO YEYE ANAJIFANYA HAJUI ILA YEYE NDIO SOURCE IYO NYIMBO HAIWEZI KUFANYA VZURI KAMA ALIVYOFIKIRIA
 
Fid Qkachemka

Akasikilize tena nyimbo yake ya Propaganda na Sumu mistari yake ya mwisho kisha azungumze tena
 
Back
Top Bottom