Fid Q: Ommy Dimpoz amefanya hadi nauchukia wimbo wangu wa Fresh

jamani DIMPOZ Sio RIZIKI na mawenge ya kutosha kwenye kichwa chake...akihisi MTEKENYO CHINI anauwezo wa kufanya lolote.
 
Nani tutamlaumu
Producer alierecord
Au labda DJ anaepiga kwenye kipindi

Sent from myself
 
Fid unatafuta kiki ili nyimbo iendelee kununuliwa tu huku mitandaoni

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Acha ufala wewe atafute kiki ya nini wakati yeye haihitaji kiki anakubalika kitambo kwenye hipo hop ila alichosema ni kweli yule punga Dimpoz mambo yao vipi awahusishe wazazi?
 
Kosa moja hali justify kosa jingine.

Kimsingi Nasibu amekosea na Dimpoz amekosea pia, hakuna mwenye nafuu hapo.

Sent from my Priceless H40-D00 using JamiiForums mobile app
 
Watulie dawa iwaingie....Hata mama ake Ommy kadhalilishwa kwa mwanae kuitwa Shoga na Dimond.

Siku nyingine Dimond atajifunza kuheshimu wenzie maama mama ake ndio Kishaliwa tena
 
Dimond ndio kaanza kuhusisha watu wasiohusika.

Dimond ndio kam-diss Ali...Ali akajibu.

Dimond akawa-diss Ali na Ommy....So Dimond alimuingiza Ommy kwenye ugomvi usimuhusu na Ommy nae akatoa ya moyoni kuwa kishakula Mama enu so mvumilie tu.

Dimond asingemuingiza Ommy wala Ommy asingeingilia ila Dimond kazoea kumuonea Ommy na safari hii kamkomesha.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] woyoooooo woyoooo hozaaaaa patraaam

invest what you are willing to lose
 
Omy kafanya vile kuithibitishia jamii kuwa yeye si shoga. Na demu wake ndo huyo bi kandra

invest what you are willing to lose
 
Muongo yule kishaona balaa anataka kujitoa.
 
wabanapua wana mambo ya kishoga sana. Wanaleta utani hadi kwa wazazi. Nilishamwambia wife nikikuta wimbo wa mbanapua yeyote wa bongo ndani, namrudisha kwao.
 
Nimielewa Fid Q, hakukuwa na haja ya Dimpozz kwenda that personal, angechukua biti la mtu nae amjibie studio.
Kama Ommy ajui ku-rap Je...ulitaka afe na tai shingoni?!

Kama walitaka hayo wangekubaliana toka mwanzo...

Hakuna kulia lia Mama enu ndio kishaliwa na Ommy kamwaga mchele kwenye kuku Wengi
 
Ndo mana jamaa akaamua kuweka wazi ili amuheshimu

invest what you are willing to lose
 
Acha ufala wewe atafute kiki ya nini wakati yeye haihitaji kiki anakubalika kitambo kwenye hipo hop ila alichosema ni kweli yule punga Dimpoz mambo yao vipi awahusishe wazazi?
Kamuhusishaje mzazi? Kuweka wazi mahusiano yao ni kosa?

invest what you are willing to lose
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…