PUSHKIN 2000
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 362
- 176
Msanii wa Hip Hop Fid Q amedai msanii Omy Dimpoz amefanya jambo la hovyo sana kiasi kwamba hadi sasa haupendi wimbo wake wa fresh
Ommy Dimpoz alitupia picha akiwa na mama Diamond na kuandika maneno ya kumdhalilisha
kitu ambacho fid Q hakutegemea kufika huko kwa kuwa muziki ni burudani na msanii kumdiss mwingine kupitia muziki kunachangamsha game ila sio kutukana wazazi
jamani DIMPOZ Sio RIZIKI na mawenge ya kutosha kwenye kichwa chake...akihisi MTEKENYO CHINI anauwezo wa kufanya lolote.