Fid Q: Ommy Dimpoz amefanya hadi nauchukia wimbo wangu wa Fresh

Bongo majungu tuu sio siasa wala sanaa¡

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama Ommy ajui ku-rap Je...ulitaka afe na tai shingoni?!

Kama walitaka hayo wangekubaliana toka mwanzo...

Hakuna kulia lia Mama enu ndio kishaliwa na Ommy kamwaga mchele kwenye kuku Wengi
Duh! Basi Dimpozz kaharibu zaidi kama "katembea" na mama! Anapenda kitonga!
 
Kwanza fid aache unafik wa kujifanya kuwa eti diss kwenye hip hop ndo mzik wakati anajua kuwa ni matusi na hapo hapo eti wao ni vioo vya jamii...,
Vioo gani sasa hapo?
Ambavyo havina tinted labda..
Au anapodai kuwa diss ndo muzik wa hiphop alie kuwa anachana diss alikuwa mwana hiphop kweli?, Tangu lini? Na je!!! Hao walio tukanwa hump kweye goma hlo wao ni wana hiphop pia??

Fid q umeelekea kwenye mdololo org kuanza kujitweza kwenye level za watoto na kusaliti wakongwe wenzio..
Najua tu kuwa uljua matokeo ya nyimbo hyo kuwa ni utata/kizaazaaaaa.
 

Lol...... Akazane hadi ukumbini hahahahahahahahahaha mbavu zangu mieeeee.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] woyoooooo woyoooo hozaaaaa patraaam

invest what you are willing to lose
Wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaa, babaaa babaaaa babaaaaaa hahahahahahahaha

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Acha ufala wewe atafute kiki ya nini wakati yeye haihitaji kiki anakubalika kitambo kwenye hipo hop ila alichosema ni kweli yule punga Dimpoz mambo yao vipi awahusishe wazazi?
Umelipwa kiasi gani

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…