Jane Msowoya
JF-Expert Member
- Aug 20, 2017
- 4,302
- 7,815
Utani gani kuitana mashoga, hayo mambo hakunagaKaonyesha udhaifu mkubwa sana! Mwenzake kamtania kisanii yeye kapaniki.
invest what you are willing to lose
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Utani gani kuitana mashoga, hayo mambo hakunagaKaonyesha udhaifu mkubwa sana! Mwenzake kamtania kisanii yeye kapaniki.
Msanii wa Hip Hop Fid Q amedai msanii Omy Dimpoz amefanya jambo la hovyo sana kiasi kwamba hadi sasa haupendi wimbo wake wa fresh
Ommy Dimpoz alitupia picha akiwa na mama Diamond na kuandika maneno ya kumdhalilisha
kitu ambacho fid Q hakutegemea kufika huko kwa kuwa muziki ni burudani na msanii kumdiss mwingine kupitia muziki kunachangamsha game ila sio kutukana wazazi
Duh! Basi Dimpozz kaharibu zaidi kama "katembea" na mama! Anapenda kitonga!Kama Ommy ajui ku-rap Je...ulitaka afe na tai shingoni?!
Kama walitaka hayo wangekubaliana toka mwanzo...
Hakuna kulia lia Mama enu ndio kishaliwa na Ommy kamwaga mchele kwenye kuku Wengi
Ulazima sio urazima nimekupata.Uyu nae ni mpuuzi yeye alikubali vip mtu alete mipasho kwenye wimbo wake amejitaftia chuki ambazo azikua na urazima
Sent using Jamii Forums mobile app
wewe nitaira ivi bado hujajua kuwa akutukanaye achagui tusi ivi diamond alivo mtukana mwenzake kumuita shoga alishawahi shuhudia icho kitu au aliwahi kumpa ndogo Ommy akashindwa kupiga mambo hakuna tusi baya kama kuambwiwa shoga Alf mbona kuna mashuga mamy makubwa kuliko mama mondi wanatoka navijana me sijaina ubaya npo Ommy kazana baba ikiwezekana mpaka ukumbini
Sent using Jamii Forums mobile app
Wera weraaaaaaaaaaaaaaaaaa, babaaa babaaaa babaaaaaa hahahahahahahaha[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] woyoooooo woyoooo hozaaaaa patraaam
invest what you are willing to lose
Sawa mwalimu kwa kulipiga mistali daftari languUlazima sio urazima nimekupata.
Umelipwa kiasi ganiAcha ufala wewe atafute kiki ya nini wakati yeye haihitaji kiki anakubalika kitambo kwenye hipo hop ila alichosema ni kweli yule punga Dimpoz mambo yao vipi awahusishe wazazi?
Hahahaaaa... Hlo tenaa;
Hata Hamisa ni mama lakini aliitwa Bitchwewe ndio mpuuzi,fid kasema kuingiza wazazi ni ujinga.pambaneni wenyewe achanen na wazaz
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] reside me on airWera weraaaaaaaaaaaaaaaaaa, babaaa babaaaa babaaaaaa hahahahahahahaha
Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
Mnampangia mtu namna ya kureact??Nimielewa Fid Q, hakukuwa na haja ya Dimpozz kwenda that personal, angechukua biti la mtu nae amjibie studio.
Hapana, ila areact angalau kama mwanaume wa kiume!Mnampangia mtu namna ya kureact??
Mkuu kwani kosa hasa alilolifanya omi ni nini?Hapana, ila areact angalau kama mwanaume wa kiume!
Hamna kosa, ni kila mtu anatoa comment kutokana na mtazamo wake!Mkuu kwani kosa hasa alilolifanya omi ni nini?
Bado sijaelewa
invest what you are willing to lose