Fid Q: Ommy Dimpoz amefanya hadi nauchukia wimbo wangu wa Fresh

Fid Q: Ommy Dimpoz amefanya hadi nauchukia wimbo wangu wa Fresh

mnapenda kulumbana na mnapenda tukanana,
mi nnaogopa sana, kwa hali jinsi ilivyo mwishowe mtaja chinjana,
na sote tunaorap tuonekane hatuna maana.

wapi ilipo taarabu, ilikuja kwa kishindo hadi wagumu wakahusudu, lakini kwa malumbano mwishoe ikafa kibudu.

by Afande sele Mtazamo
Mbona umetumia vina sana?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acheni kuwa na tabia ya Marekani
Kupangiana matumizi ya Silaha ktk vita
Eti usitumie Bomu la sumu wala Nyuklia mwendawazimu kwakua ww hauna ndio mm nisilitumie
Nakutandika tu nimalize vita kwa muda mchache .
Matumizi Ya AK47,SMG nikupotezeana muda tu vitani wakati kuna mambo mengi ya kufanya ktk jamii

Ommy Korea kaskazini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye fresh remix kuna mzaz wa mtu katukanwa au kufedheheshwa diss zipo kwnye mziki hata mbele wanadisiana lakin hutoona kajibu kwa kuingiza wazaz. Domo siyo mtu wa kwanza kudisi msanii mwenzie.

Sent using Jamii Forums mobile app
kwanin amdis mwenzake? Dimpoz ameishwahi kusema anataka hiyo michezo ya dis na Mondi? Mondi kilimuwasha nini hadi kwenda studio kumdiss mwenzake? Halafu kwanin tulazimishane siraha za kutumia? eti kahusishwa mzazi, kwani huyo mondi hajawahi kumtukana mzazi wa mtu? Juz kati alimuita Hamisa Mobeto bitch, ila hakuna aliyeona tatizo au Hamisa sio mzazi wa mtu? Au mama Mondi ndio mzazi sana kuliko wazazi wengine? punguzeni hizo bias, halafu hapa mchokoz ni mondi so acha tu apigwe kwa staili yoyote ile, hakuna cha mama wala nini acha tu iwe vyovyote itakavyokuwa.... mchokoz apigwe tu tena apigwe hadi akose hamu ya kulipa kisasi

Siku domo akimjibu ommy kuhusu mzazi wake tena nasikia ni marehem msije hapa na excuse kibao maana naona mnashangilia ujinga msione domo kanyamaza ukafiri kashindwa kujibu. Mm nikutanie ww afu uingize wazaz akhi ya nani sikuachi iviivi lazima damu imwagike

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata mimi nimemchukia sana hata nyimbo zake zote nimefuta za omy dimpoz
Nimewaambia na wanangu na familia yangu yote kumchukia huyu kijana .ukimdhalilisha mama mmoja unadhalilisha wamama wote

Sent using Jamii Forums mobile app
ugumu wa maisha usikufanye umchukie ommy!! aliyedhalilishwa ni mama mondi peke yake, eti wamedhalilishwa wamama wote weeee mi bi mkubwa wangu hajadhalilishwa wala nini saa hiz yupo home anakula maboga kwa raha zake hana na hajui kama kuna hizo people zina exist... bi mdashi wangu hawez kudhalilika kisa ommy aliwahi kutembea na mama mondi! Eti mwanamke mmoja akidhalilishwa ndio wamedhalilishwa wanawake wote, acha kukuza mambo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku domo akimjibu ommy kuhusu mzazi wake tena nasikia ni marehem msije hapa na excuse kibao maana naona mnashangilia ujinga msione domo kanyamaza ukafiri kashindwa kujibu. Mm nikutanie ww afu uingize wazaz akhi ya nani sikuachi iviivi lazima damu imwagike

Sent using Jamii Forums mobile app
kwan kweny hii ishu mchokoz ni nani? nani aliyeanza kumtukana mwenzake? Kuna baya lolote alilolifanya ommy hadi mondi kuamua kuingia studio kumdiss wenzake? unapoanzisha vita ujiandae kupigwa kwa staili yoyote ile... mondi huwa anajikuta bulldog sana sasa leo kapewa kitu freshi so akaushe tu si aliyataka?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye fresh remix kuna mzaz wa mtu katukanwa au kufedheheshwa diss zipo kwnye mziki hata mbele wanadisiana lakin hutoona kajibu kwa kuingiza wazaz. Domo siyo mtu wa kwanza kudisi msanii mwenzie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kama ni mwanume rijali hala mtu anakuita shoga kila mara wewe utajisikiaje inamaana hizo diss za mziki je mzazi wa omy yeye atajisikiaje mtoto wake kuitwa hivyo lazima tuangalie pande zote maana ommy nae anafamilia nayo pia inaumia vile vile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Domo angejibu kwa kumtukania dimpoz kwa mama ake nahisi insta pangechafuka watu tunashangilia ujinga kutaniana kupo mbona kiba alimjib domo kwa kumuita malikia wa nguvu watu hawajamaind lakini unahisi ni kw nini ommy kaleta mtafaruku kw sababu kamhusisha mtu aziyehusika yeye angedili na domo personally siyo kuingiza wazaz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Tutajuaje?Kama kweli alimmega?Maana huyo mama nasikia kwa dogo dogo hatari!
Nways,mimi ukinitusi ukaniita shoga,walahi hata hapo Ommy hajapanic aiseee!Ningemshambulia with everything i hv got!Kuna mambo mengine si kutania,shoga?????Halafu hii sio mara ya kwanza,kuna siku redioni diamond alisikika akisema "Dimpoz anamchukia kisa alikataa kumpulia kisogoni", Ommy akatoa onyo,akamwambia sio vizuri,unaweza ukanitukana hivyo halafu ukashangaa kesho natoka na taulo kwenye chumba cha Bi sandra!!!!Domo naona hakusikia,karudia tena!Acha apewe vinavyoweza kumuuma,halafu sijui Ommy hajapata video ya Zari akijichokonoa na dildo,maana ningekuwa mimi ningeipost!
 
Huyu nae na machunusi yake atulize mshono...mbona wakati ommy wanamzushia ushoga akuleta machunusi yake kusema ommy anadhalilishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee kamanda umenichekesha asubuhi asubuhi hasa kwenye kipengele cha machunusi ulivyokazia, lol

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
japani na ubishi wake wa kukataa kushindwa alipata pigo la nyuklia moja akatulia na vita ikaishia hapo?

domo nae kala iyo moja hawezi rudia tena, fid kaa pembeni na uache unafiki
Katika wanafiki Fid mnafiki kichiz, eti anasema kama kiba anataka kujibu aende kuchukua biti achane, shwain nani kamwambia kuchana ni kama kongosho kila mtu anayo? Fid ni mpuuz ingawa ngoma yake ya ulimi mbili nimeielewa kinoma ila katika hili Fid ni mpuuz yaan hachomoki!!!! Ni kanuni ya vita tu kuwa ukimjua adui yako ukajua udhaifu wake basi piga hapohapo kwa pigo moja la kikatili sana vunja vunja kabisa, toboa toboa na vita yote itaishia hapo.... hadi leo marekani inalaumiwa kuwa hapakuwa na ulazima wa kutumia nyuklia weapon ila asingefanya hivyo sijui vita ingeishaje maana Japan alikuwa ameishakaza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siku domo akimjibu ommy kuhusu mzazi wake tena nasikia ni marehem msije hapa na excuse kibao maana naona mnashangilia ujinga msione domo kanyamaza ukafiri kashindwa kujibu. Mm nikutanie ww afu uingize wazaz akhi ya nani sikuachi iviivi lazima damu imwagike

Sent using Jamii Forums mobile app
Uniite shoga halafu nikuangalie hivi hivi,aisee nitamtafuta mama yako nimchape ili tuheshimiane!Well done Ommy
 
Kama anauchukia wimbo wake, aufungie usipigwe tena... asituleteee ufala hapa tuna vingi vya kusikiliza.

Guys, tafuteni wimbo wa Christopher Martin unaitwa MAGIC ni sheeeeeeeeedar.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Nipo upande wa Ommy aiseeee.... safi sanaa kijana.... hahahahaha kwenye vita usinichagulie silaha ya kutumia.

Sent from my Siemens kidole juu using JamiiForum mobile app.
 
Back
Top Bottom