Fid Q: Profesa Shivji alishawahi kuniambia nina u-profesa ndani yangu, hadi kichwa kinaniuma

Hana chochote cha ajabu. Wa kawaida sana.

Bora hata ya Sugu kuliko huyu anayeungaunga lyrics.
Wacha maneno Mr,
Nadhani ni tabia ya unafiki wawaTanzania ukweli usemwe usisubiri mpaka afe ndio umusife, Mwanamalundi yupo vizuri sana-sana!
Unajificha kwenye kichaka kwa kumutuhumu kwamba anaunga-Unga lyrics! Hahaha mbaya zaidi nikuwa na ndugu alafu kichwa maji.

"Uhuru wa miguu mikono Akili imefungwa minyororo"
 
Fid q jeshi la mtu mmoja habebwi na media power anabebwa na ukubwa wa nyimbo zenye fikra yakinifu cyo za kuunga unga kama wana chuga
 
Mtu mwenye u-profesa ndani yake aishie kulelewa na dada wa kizungu?

Neno profesa limebakwa hapo.
bora huyu anayelelewa na dada wa kizungu kuliko Karl Marx aliyelelewa na mkaka wa kizungu (Fredrick Angeles)
 
Hii habari chalii yangu si nzur kwa watoto wa njiro nawaona wamefura kwa mbali arifu
 
Joh au mchuga yeyote akiandika mistar kama hii namvua u professor fid q

Siri ya mchezo by fid q

Verse 1:

Nilipotoka mbali na ninaheshimu nilipo

sikuwa na umuhimu kihivyo stimu zikanipa elimu ya Biko

Kimaandiko kimistari.. hadi fans wanascream nikirap..

sikuamini kama nina zali mpaka nilipoidream hiphop

Wanapagawa. Na baadhi ya mambo nayoyajua..

pia nina uwezo wa kufanya mpaka madawa yanaugua

Wanapagawa na nyimbo ngumu hawa [HASHTAG]#teamMabiiitoz[/HASHTAG]

Achana na power window.. sijui rimz za dimpoz

haileti bingo, mshiko? Star ishi simple

sanaa iko hivyo sometimes.. hukataa kukaaa ulipo

wanaodharau.. hujiletea matatizo..

hawajui kama wadau hupendelea kukuona hivyo?

bonge la staa.. donge la njaa.. hauna kitu

jikombe ugongwe mtaaa ukuone hauna ishu

ukishindwa kujiandaa jiandae kushindwa

mjinga utaachwa unashangaa kumuona Martin Kadinda

Usmati anaotinga, majumba mandinga

ya bwana Almasi.. je hizi track za harakati ni ujinga?

HAPANA.... nguvu ya mamba ni maji

na umaarufu au kutamba.. kushika namba ni bahati

sio kipaji kama Kubanda eti unachana kigumu

kisa track ikivuma sana kwenye chati haidumu

Amani kwa chachage na MAKUWADI wa SOKO HURIA..

baba asante kwa UTAFITI na ZAWADI ya ALMASI ya BANDIA

NYUMBANI nasikiliza DUNIA YA SASA ya MARIJANI..

najiuliza tutarithi nini ikiwa IMANI ishakwisha tangu zamani?

labda kubisha na wakinitisha najihami..

inasikitisha unapoibiwa na aliyekupigisha ni jirani

Pole MAPROSOO( uhujumu --uchumi ) umefanya umetubu..

WAZEE ni wahuni hadi soo waay back before SUGU

Taifa la kondoo.. huendeshwa na serikali ya Dubu

na MBWA MWITU wenye siri.. ili bepari umuabudu

kimahakama, kiserikali, kidini umsujudu..

huo ni utumwa pia

Unafanya vijana wanaumia..

Tunaishia kufia mabatani kama nzi ndani ya glass ya bia..

CHORUS: (Juma Nature)

Siri ya mtungi aijuaye kata..

komaa kaza.. kisha utapata x2

Siri ya mchezo naijua mimi..

tu.. na hakuna mwingine x2

Verse 2:

Tofauti ya BIASHARA na SIASA ikila hasara inaweza buma

wakati SIASA kila mara ukiwa unang'ara ujue kuna.. kinara

anayeunda msafara wa wanaojituma

na kuchuma kwa kukufanya uwe imara hapo hasara hakuna

KIDUMU CHAMA CHA MASELA Ukoloni mambo leo umetupa uhuru wa bendera,

tuone kufuru za wenye hela

TANZANIA ni demu wa mtungo wanamuiita CHA WOOTE

HANGOVER .. anaikimbia kwa kupiga mtungi saa zote

Mkubwa anazuga atasolve matatizo ya nchi yake

na gari bovu.. halisukumwi kwa kukaa ndani yake

MAENDELEO ni ile ndoto..MWEZEKAJI ashaipuuza..

je Kukaa karibu na moto ni kuuota au kujiunguza?

hakuna UHURU wa kweli (Africa) msidanganywe na illusion

na daily tunafeli sababu ya POLITICAL institutions

CIVILIZATION imeadvance sasa wanatuua economically..

hakuna utumwa mbaya kama ule wa kujiona uko free

Kuusaka ukweli ni sawa na kumenya kitunguu

kila ganda litakutoa machozi na utabaki macho juu

Ukishafika kwenye kiini niambie nini utagundua?

zaidi ya mafaili yaliyounganika utaghairi kuyafunua?

Wamejivisha U-NOAH.. SAFINA zao zikatoboka

Wakajivisha U-MUSSA.. FIMBO zao hazikugeuka NYOKA

Sasa wanaujaribu U-MUNGU MTU kuamua nani leo atatoka!?

Usishangae kuona muda unaenda na hujibiwi... huyu Broo ni yupo vizur... usipo wa tungo zake naufananisha na
Hayati Marjan Rajab.
 
Mtu mwenye u-profesa ndani yake aishie kulelewa na dada wa kizungu?

Neno profesa limebakwa hapo.
Fareed namkubali sana,ila sometimes wana mu overrate sana.tena bora wangeyasema haya kipindi ile,saiz kabadilika sana hana mistari ya maana kama enzi hizo.nyimbo kama fid Q.com zilikuwa balaa sana.siku hizi anaandika vitu laini sana
 
Back
Top Bottom