Fid Q: Profesa Shivji alishawahi kuniambia nina u-profesa ndani yangu, hadi kichwa kinaniuma

Fid Q: Profesa Shivji alishawahi kuniambia nina u-profesa ndani yangu, hadi kichwa kinaniuma

Wewe ukipata mia, sifuri atapewa nani

Wengi ufyata wakiskia, nimenata na beat za Majani

Wameshanitabiri watu wangu wa mtaani

Mimi ndiye mfalme nitaefuata baada ya Suleiman
 
Fid q jeshi la mtu mmoja habebwi na media power anabebwa na ukubwa wa nyimbo zenye fikra yakinifu cyo za kuunga unga kama wana chuga
Mzee wa kutoa hapa kuweka hapa[emoji12]
 
Hana chochote cha ajabu. Wa kawaida sana.

Bora hata ya Sugu kuliko huyu anayeungaunga lyrics.
Ukiweka mstari mmoja wa Fid unaodhani ni wa kuungaunga na nipigwe ban ya maisha!
 
Kiukweli kwa sasa watu weusi sana sana wabongo ni vigumu sana kumkubali MTU,hivi profesa nae ni binadamu kama binadamu wengine amesoma ndo akawa hvyo au wengine wanazaliwa wanajua na uwezo wao si Wa kawaida , ni sawa na fid q uwezo wake Wa mistali siyo Wa kawaida sana ,anatumia akili kubwa na ana fikiria mbali sana ambapo sijamwona mwana hip hop mwingine bongo anaweza Fanya hvyo yaan

Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
Watu wa chuga wakiuona huu uzi wa nataman kupasuka
Kwani kuna uhusiano gani kati ya Fid Q na watu wa Chugga... Mbona kuna watu Arusha wanakubali harakati za Fid??

Nyie watu mnaoendekeza na kushabikia ukanda/beef hamfai katika jamii
 
Nucky Thompson,

Safi kuona wazee kama kina Profesa Issa Shivji na mzee Wotabugoya (Walter Bgoya wa Mkuki na Nyota Publishers Ltd MNP) wanakubali mistari ya Fid Q
 
Back
Top Bottom