Fid q- ukijikuna makali usikate kucha kwa mdomo(Kiberiti)

Fid q- ukijikuna makali usikate kucha kwa mdomo(Kiberiti)

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Wana Jf wasalaam...
Mmoja wa wasanii wetu bora kabisa wa hip hop amerudi tena kwenye masikio yetu...

Moja ya kipaji alichapewa fid q ni uwezo wa kucheza na maneno na kilo wimbo wake ukiusikiliza uwezi kutoka bila kujifunza...

Kwenye wimbo huu alio mshirikisha Saida Karoli kuna mambo mengi sana ya kujifunza ikiwamo kuchukulia mambo personal(binafsi)...kuvunjika moyo kisa umesemwa.

Kuna mengi sana ya kufurahia wimbo wake wa "kiberit" lakini kizuri kingine ni uwezo wa kuimba chorus vizuri wa Saida Karoli,beat ya wimbo na swag za Fid q..

Kuna mstari ana kumbusha swala la usafi hasa wakata kucha kwa mdomo

Nukuu
"Ukijikuna tako,usikate kucha kwa mdomo"

Wasalaam...
 
mbona kama mistari mingi ina mgusa diamond
Kaielezea hapo
Screenshot_2018-08-13-12-31-10.jpg
 
Huyu jamaa siku zote anaimbaga mipasho,hip hop siku zote haifichi fichi mambo Kama unataka kumchana mtu unamtaja mpaka jina,misamiati mingii,embu awasikilize wakina tupac,biggie na wengine wengi waasisi wa hip hop walikuwa wanachana vipi,namuelewaga sana nay wa mitego
 
Mkuu umeguswa wapi?
 
Back
Top Bottom