Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Wana Jf wasalaam...
Mmoja wa wasanii wetu bora kabisa wa hip hop amerudi tena kwenye masikio yetu...
Moja ya kipaji alichapewa fid q ni uwezo wa kucheza na maneno na kilo wimbo wake ukiusikiliza uwezi kutoka bila kujifunza...
Kwenye wimbo huu alio mshirikisha Saida Karoli kuna mambo mengi sana ya kujifunza ikiwamo kuchukulia mambo personal(binafsi)...kuvunjika moyo kisa umesemwa.
Kuna mengi sana ya kufurahia wimbo wake wa "kiberit" lakini kizuri kingine ni uwezo wa kuimba chorus vizuri wa Saida Karoli,beat ya wimbo na swag za Fid q..
Kuna mstari ana kumbusha swala la usafi hasa wakata kucha kwa mdomo
Nukuu
"Ukijikuna tako,usikate kucha kwa mdomo"
Wasalaam...