Fid Q: Wasanii wananunua views YouTube na wana followers fake mitandaoni

Amesema yeye ana followers Real,Hana Fake Followers,Makampuni yanaangalia idadi ya folllowers,yeye hana wengi so si rahisi kupata hayo matangazo ya sabuni.
Hao followers real unawatambuaje? nadhani ukiwa na followers milioni moja kuna uwezekano mkubwa ukawa na real followers laki tatu..sasa je ukiwa na followers laki mbili real followers ni wangapi?

Hata watoa matangazo wanajiuliza, na sio wajinga.
 
Mkuu yaani kabisa unaandika umefumbuliwa macho na mvuta bangi na asiye jua chochote,ngoja tukueleweshe lemutuz kwenye page yake alisha toa maelezo kwamba hapendi ujinga ukikoment upumbavu unakula solex na ndomana unaona wachangiaji ni wachache na wanachangia pointi za muhimu mwenyewe anawaita akili kubwa na kuhusu matangazo jamaa pale anaingiza mpunga mzuri kwa sababu makampuni mengi yana jua ile page inatembelewa na watu wenye akili timamu na itawasaidia pia wao kupata wateja ndomana kila wakiongezeka follows 1000 anakwambia bei ya matangazo inapanda sasa page zingine za wasanii unaona wanakoment na like nyingi kwasababu wao huwa awana utaratibu wa kublock wajinga wanaokoment matusi na ujinga kwenye page zao zipo tu bora liende!
Mwenzako mvuta bangi lakini humfiki ng'o
 
Wasanii wa Hip-Hop wanashindwa kutumia social media vizuri na mashabiki wa Hip Hop ndio wanachangia kuwaangusha wasanii wao.Dunia ya sasa social media(Youtube,Twitter,Facebook,Instagram,Online radio) ndio platform ya kutangaza kazi yako rate ya kuangalia TV kusikiliza radio imepungua
 
Ha ha followers wa kiarabu huko hata hawaelewi nini umeandika si upuuzi huo
 
Mkuu yaani kabisa unaandika umefumbuliwa macho na mvuta bangi na asiye jua chochote,ngoja tukueleweshe lemutuz kwenye page yake alisha toa maelezo kwamba hapendi ujinga ukikoment upumbavu unakula solex na ndomana unaona wachangiaji ni wachache na wanachangia pointi za muhimu mwenyewe anawaita akili kubwa na kuhusu matangazo jamaa pale anaingiza mpunga mzuri kwa sababu makampuni mengi yana jua ile page inatembelewa na watu wenye akili timamu na itawasaidia pia wao kupata wateja ndomana kila wakiongezeka follows 1000 anakwambia bei ya matangazo inapanda sasa page zingine za wasanii unaona wanakoment na like nyingi kwasababu wao huwa awana utaratibu wa kublock wajinga wanaokoment matusi na ujinga kwenye page zao zipo tu bora liende!
Umemaliza kila kitu,maana nilikuwa namtafutia majibu na kila jibu nilikuwa naliona haliko sawa.
 
1efb77744d73db21d523e6c94ff9fca7.jpg
Ukubwa wa hilo shati shati lake wanatosha watu wanne wenye uzito wa niffah
 
Hivi kuna Hit song ipi ya FID Q ambayo kila mtu anaujua?

nyimbo za akina ngwea, prof jay, TMK, Mr. blue, etc zinajulikana hata kama za miaka hiyo

ipi ya FID Q

maana wapenzi wa hiphop wanasema mkali sana, ana mashari balaa, yuko vizuri ..binafsi siyaoni wala sivutiwi na muziki wake na kwa kuuliza hivi ni kutaka kujua

mtu anipe link nifurahie muziki wa FID Q

Ninachoona ni wale die hard wa hiphop ambao wanasema wanabaki kwenye kacha ya hiphop na siyo soko linataka nini
 
Kumbe wewe mtoto wa juzi bana [emoji3] [emoji3] hili swali lako linaonyesha umezaliwa kuanzia 1994
 
Anaumwa huyo, views wa jana wa diamond platinum aliwanunua mtabaki mnasema yoooooo mwisho wa siku mtasema yondo sister.
 
Back
Top Bottom