FYATU
JF-Expert Member
- Dec 7, 2011
- 5,567
- 4,683
Hao followers real unawatambuaje? nadhani ukiwa na followers milioni moja kuna uwezekano mkubwa ukawa na real followers laki tatu..sasa je ukiwa na followers laki mbili real followers ni wangapi?Amesema yeye ana followers Real,Hana Fake Followers,Makampuni yanaangalia idadi ya folllowers,yeye hana wengi so si rahisi kupata hayo matangazo ya sabuni.
Hata watoa matangazo wanajiuliza, na sio wajinga.