Fideline Iranga amekuwaje?

Nilikaa nikajiuliza Fide Iranga alikuwa anafanyia uanamitindo kipande kipi cha dunia!
 
Fide Iranga alikwisha akawa namba 1,Kisukari na "DRUM" ndio inakupukutisha unakuwa namba 1 ghafla.
 
Noma sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia ndivo ilivyo. Mungu atuepushie hili janga kwa neema yake. Ila tysiwanyooshee vidole wale ambao tayari ni waathirika
 
nimebahatika kukutana na mwanamitindo huyu ndani ya Mother City,she looks good,fit na mwenye afya nzuri tu,alikuwa anafanya matembezi yake ndani ya camps bay ,usiwanyoshee watu kidole wakati vidole vyako zaidi ya vitatu vinakunyoshea wewe mwenyewe.
 
Fide aliugua kisukari kwa muda wa mwaka mzima na alikonda kweli.Pia pombe kali,bangi kwa sana na sigara zilimlostisha.alikosa dili ya kufanya uanamitindo Ufaransa napo ilimtesa sana(wanasema vipimo vilikataa) Kuhusu ngoma sina uhakika japo lisemwalo lipo ila siwezi kuhukumu.kama anao ama hana ni yeye na maisha yake.ameolewa na tajiri mmoja hapa Capetown.ni mtu wangu wa karibu sana so siwezi kusema zaidi.Anajishuhulisha na ushonaji wa nguo.na yupo mbali na media life na spotlight ya aina yoyote maana ndio masharti ya mume wake.hivi ndio anavyofanana kwa sasa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aiseee ona sasa. Ila zile picha zake zilikua zinatisha sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…