Fideline Iranga amekuwaje?

Fideline Iranga amekuwaje?

Fedeline Iranga u-super model kautolea wapi? Au uanamitindo gani alikuwa anaufanya? Huyu mama ni changudoa kitambo sana. Alikuwa anauza nyapu miaka ya 97/98 pale Garden Avenue, kipindi hiyo Embassy Hotel bado inafanyakazi. Ni miaka ishirini ishapita tangu tulivyokuwa tunamuona anajiuza pale.
Nilikaa nikajiuliza Fide Iranga alikuwa anafanyia uanamitindo kipande kipi cha dunia!
 
Fide Iranga alikwisha akawa namba 1,Kisukari na "DRUM" ndio inakupukutisha unakuwa namba 1 ghafla.
 
Fedeline Iranga u-super model kautolea wapi? Au uanamitindo gani alikuwa anaufanya? Huyu mama ni changudoa kitambo sana. Alikuwa anauza nyapu miaka ya 97/98 pale Garden Avenue, kipindi hiyo Embassy Hotel bado inafanyakazi. Ni miaka ishirini ishapita tangu tulivyokuwa tunamuona anajiuza pale.
Noma sana!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dunia ndivo ilivyo. Mungu atuepushie hili janga kwa neema yake. Ila tysiwanyooshee vidole wale ambao tayari ni waathirika
 
nimebahatika kukutana na mwanamitindo huyu ndani ya Mother City,she looks good,fit na mwenye afya nzuri tu,alikuwa anafanya matembezi yake ndani ya camps bay ,usiwanyoshee watu kidole wakati vidole vyako zaidi ya vitatu vinakunyoshea wewe mwenyewe.
 
Kwani ni yeye huyo SL? Amekuwa kimodeli kweli au alienda india kama Mustafa Hassanali labda...
1164086_fide.jpg
 
Fide aliugua kisukari kwa muda wa mwaka mzima na alikonda kweli.Pia pombe kali,bangi kwa sana na sigara zilimlostisha.alikosa dili ya kufanya uanamitindo Ufaransa napo ilimtesa sana(wanasema vipimo vilikataa) Kuhusu ngoma sina uhakika japo lisemwalo lipo ila siwezi kuhukumu.kama anao ama hana ni yeye na maisha yake.ameolewa na tajiri mmoja hapa Capetown.ni mtu wangu wa karibu sana so siwezi kusema zaidi.Anajishuhulisha na ushonaji wa nguo.na yupo mbali na media life na spotlight ya aina yoyote maana ndio masharti ya mume wake.hivi ndio anavyofanana kwa sasa.
FB_IMG_15828228531534529.jpeg
FB_IMG_15828228407708115.jpeg
FB_IMG_15828227980112397.jpeg
FB_IMG_15828227901037272.jpeg
FB_IMG_15828227847779486.jpeg
FB_IMG_15828227542904946.jpeg
FB_IMG_15828227606559498.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Fide aliugua kisukari kwa muda wa mwaka mzima na alikonda kweli.Pia pombe kali,bangi kwa sana na sigara zilimlostisha.alikosa dili ya kufanya uanamitindo Ufaransa napo ilimtesa sana(wanasema vipimo vilikataa) Kuhusu ngoma sina uhakika japo lisemwalo lipo ila siwezi kuhukumu.kama anao ama hana ni yeye na maisha yake.ameolewa na tajiri mmoja hapa Capetown.ni mtu wangu wa karibu sana so siwezi kusema zaidi.Anajishuhulisha na ushonaji wa nguo.na yupo mbali na media life na spotlight ya aina yoyote maana ndio masharti ya mume wake.hivi ndio anavyofanana kwa sasa.View attachment 1370833View attachment 1370834View attachment 1370835View attachment 1370836View attachment 1370837View attachment 1370838View attachment 1370839

Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee ona sasa. Ila zile picha zake zilikua zinatisha sana
 
Back
Top Bottom