Fidia ya Kusitishiwa Mkataba kwa Waajiriwa wa Kudumu

!
!
Kaka private tunapiga kazi as if tunajitolea, kama tunabembeleza flani hivi kwa hiyo swala la leave balance lipo. Kwa hiyo unazihesabu kama hivyo
 
Hesabu ya kukokotoa mshahara wa siku kwa jinsi nijuavyo mimi ni: mshahara wa mwezi zidisha mshahara wa miezi kumi na mbili ili upate mshahara wa mwaka; kiisha gawanya kwa 260 (siku za kazi kwa mwaka) kwa mfano anaelipwa mshahara wa ts. 1,200,000/= kwa mwezi, mshahara wa siku ni: 1,200,000 X 12 /260 = Tsh. 55,384.62. Mshahara wa saa ni kuchukua mshahara wa siku na kugawa kwa masaa 8. Fomula hii imekuwa inatumika kufanya mahesabu ya overtime na malipo ya likizo endapo likizo italipwa.
 
!
!
Anko hebu tuashume hayo malikizo hayapo, je kwa salary ya lets say 500000 mahesabu yakoje ya hizo benefits kwa miaka mitano
 
Haya ni mambo ya msingi kwa wafanyakazi kuyajua, hatupendi kusoma na tunapuuzia. Asanteni kwa kuni - motivate, ngoja nizipitie vizuri hizi sheria za ajira na kazi.
 
Binafsi nimefanya kazi kwa miaka 4 kisha nikaachishwa..kwenye mchanganuo wa stahiki yangu iliyonyesha mchakato huu
salary*12*4*5%+salary
where 4 stand for no of yrs in service

cjui nimeibiwa?
 
kaka sheria ya ajira wengi hatuijui practical, nimejaribu kuiptia ELRA 2004, lakini naona marangirangi tu! naungana na mtoa uzi kueleweshwa zaidi
 
hapo ktk severance pay mkuu kuna marekebisho ,ipo hivi unachukua basic salary yako una zidisha mara saba mara miaka uliyofanya kazi!
Hapo umenichanganya kidogo kwenye UKOKOTOAJI WA HAYO MALIPO! Naomba ufafanuzi zaidi katika kipengele hicho
 
Naomba ushauri wako kulingana na issue yangu Je katika Situation hii kama wafanyakazi tunaweza kudai Fidia ya UNFAIR TERMINATION OF CONTRACT? Nimeuliza swali hili kutokana sintofahamu iliyopo juu ya Hatma ya wafanyakazi kwa MNUNUZI mpya wa SHARES!
 
.umetisha mdau
 
i
Hapo umenichanganya kidogo kwenye UKOKOTOAJI WA HAYO MALIPO! Naomba ufafanuzi zaidi katika kipengele hicho
ipo hivi unachukua mshahara wako basic(bila makato) unagawanya kwa 30 ili upate mshara wako wa siku,then unazidisha kwa saba,then unazidisha kwa miaka uliyofanya kazi...hii ndo fomula inayotumika mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…