Fidia ya Kusitishiwa Mkataba kwa Waajiriwa wa Kudumu

Kaka,

Private Sector ndiko kuna majibu ya kijinga kama hilo walilokufundisha. Private sector asiyetaka kuwekeza katika nchi yake basi aondoe vitega uchumi vyake aka-invest kwingine ambako hakuna sheria hii.

Ukisema Private sector haiwezekani basi unamaanisha wako juu ya sheria. Hebu wakunyime likizo halafu uende mahakamani uone cha moto chake halafu rudi hapa JF tuone kama utazungumza hiyo lugha!

Sheria ni juu hata ya Rais wa nchi, achilia mbali private sector ambao tumewapa leseni za biashara kwa sheria hizihizi!
!
!
Kaka private tunapiga kazi as if tunajitolea, kama tunabembeleza flani hivi kwa hiyo swala la leave balance lipo. Kwa hiyo unazihesabu kama hivyo
 
Hesabu ya kukokotoa mshahara wa siku kwa jinsi nijuavyo mimi ni: mshahara wa mwezi zidisha mshahara wa miezi kumi na mbili ili upate mshahara wa mwaka; kiisha gawanya kwa 260 (siku za kazi kwa mwaka) kwa mfano anaelipwa mshahara wa ts. 1,200,000/= kwa mwezi, mshahara wa siku ni: 1,200,000 X 12 /260 = Tsh. 55,384.62. Mshahara wa saa ni kuchukua mshahara wa siku na kugawa kwa masaa 8. Fomula hii imekuwa inatumika kufanya mahesabu ya overtime na malipo ya likizo endapo likizo italipwa.
 
Anko hebu tuashume hayo malikizo hayapo, je kwa salary ya lets say 500000 mahesabu yakoje ya hizo benefits kwa miaka mitano
 
Haya ni mambo ya msingi kwa wafanyakazi kuyajua, hatupendi kusoma na tunapuuzia. Asanteni kwa kuni - motivate, ngoja nizipitie vizuri hizi sheria za ajira na kazi.
 
Binafsi nimefanya kazi kwa miaka 4 kisha nikaachishwa..kwenye mchanganuo wa stahiki yangu iliyonyesha mchakato huu
salary*12*4*5%+salary
where 4 stand for no of yrs in service

cjui nimeibiwa?
 
Hesabu ya kukokotoa mshahara wa siku kwa jinsi nijuavyo mimi ni: mshahara wa mwezi zidisha mshahara wa miezi kumi na mbili ili upate mshahara wa mwaka; kiisha gawanya kwa 260 (siku za kazi kwa mwaka) kwa mfano anaelipwa mshahara wa ts. 1,200,000/= kwa mwezi, mshahara wa siku ni: 1,200,000 X 12 /260 = Tsh. 55,384.62. Mshahara wa saa ni kuchukua mshahara wa siku na kugawa kwa masaa 8. Fomula hii imekuwa inatumika kufanya mahesabu ya overtime na malipo ya likizo endapo likizo italipwa.
kaka sheria ya ajira wengi hatuijui practical, nimejaribu kuiptia ELRA 2004, lakini naona marangirangi tu! naungana na mtoa uzi kueleweshwa zaidi
 
hapo ktk severance pay mkuu kuna marekebisho ,ipo hivi unachukua basic salary yako una zidisha mara saba mara miaka uliyofanya kazi!
Hapo umenichanganya kidogo kwenye UKOKOTOAJI WA HAYO MALIPO! Naomba ufafanuzi zaidi katika kipengele hicho
 
Mkuu hapo kama ni termination kuna stahiki zako unatakiwa upewe,
  1. Basic Salary to date (Working Days) - Hapa unatakiwa kujua payroll inafungwa lini kwenye kampuni yenu mfano kama payroll wanafunga tarehe 18 ya kila mwezi,then count days up to date kisha chukua basic yako gawanya kwa 30.333 then times by number of working days.
  2. Severance - Hii ni kama umefanya kazi umetimiza mwaka (Kila mwaka una siku 7 za severance) so kama umetimiza miaka mi3 manayake una siku 21. So unachukua basic yako/30.33 unazidisha na number of days.
  3. Leave days. Kila mwezi kuna leave days 2.33 so chukua miezi yote uliyokaa kazini zidisha kwa 2.33 kisha toa siku ulizoenda likizo toka umeajiliwa (kama una record).
  4. 28 days notice kama wao wamekuterminate.
  5. Nauli ya kwenda na kurudi sehemu uliyotokea kama inavyo onesha kwenye contract.
    Kisha add 1,2,3,4 sum yake toa nssf/any kisha deduct PAYE then hicho ndo utakachostahili. Nadhani nimekusaidia kwa kiasi flani.Am stand to be corrected.
Naomba ushauri wako kulingana na issue yangu Je katika Situation hii kama wafanyakazi tunaweza kudai Fidia ya UNFAIR TERMINATION OF CONTRACT? Nimeuliza swali hili kutokana sintofahamu iliyopo juu ya Hatma ya wafanyakazi kwa MNUNUZI mpya wa SHARES!
 
Mkuu hapo kama ni termination kuna stahiki zako unatakiwa upewe,
  1. Basic Salary to date (Working Days) - Hapa unatakiwa kujua payroll inafungwa lini kwenye kampuni yenu mfano kama payroll wanafunga tarehe 18 ya kila mwezi,then count days up to date kisha chukua basic yako gawanya kwa 30.333 then times by number of working days.
  2. Severance - Hii ni kama umefanya kazi umetimiza mwaka (Kila mwaka una siku 7 za severance) so kama umetimiza miaka mi3 manayake una siku 21. So unachukua basic yako/30.33 unazidisha na number of days.
  3. Leave days. Kila mwezi kuna leave days 2.33 so chukua miezi yote uliyokaa kazini zidisha kwa 2.33 kisha toa siku ulizoenda likizo toka umeajiliwa (kama una record).
  4. 28 days notice kama wao wamekuterminate.
  5. Nauli ya kwenda na kurudi sehemu uliyotokea kama inavyo onesha kwenye contract.
    Kisha add 1,2,3,4 sum yake toa nssf/any kisha deduct PAYE then hicho ndo utakachostahili. Nadhani nimekusaidia kwa kiasi flani.Am stand to be corrected.
.umetisha mdau
 
i
Hapo umenichanganya kidogo kwenye UKOKOTOAJI WA HAYO MALIPO! Naomba ufafanuzi zaidi katika kipengele hicho
ipo hivi unachukua mshahara wako basic(bila makato) unagawanya kwa 30 ili upate mshara wako wa siku,then unazidisha kwa saba,then unazidisha kwa miaka uliyofanya kazi...hii ndo fomula inayotumika mkuu
 
Back
Top Bottom