Threesixteen Himself
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 8,233
- 8,022
!Kaka,
Private Sector ndiko kuna majibu ya kijinga kama hilo walilokufundisha. Private sector asiyetaka kuwekeza katika nchi yake basi aondoe vitega uchumi vyake aka-invest kwingine ambako hakuna sheria hii.
Ukisema Private sector haiwezekani basi unamaanisha wako juu ya sheria. Hebu wakunyime likizo halafu uende mahakamani uone cha moto chake halafu rudi hapa JF tuone kama utazungumza hiyo lugha!
Sheria ni juu hata ya Rais wa nchi, achilia mbali private sector ambao tumewapa leseni za biashara kwa sheria hizihizi!
!
Kaka private tunapiga kazi as if tunajitolea, kama tunabembeleza flani hivi kwa hiyo swala la leave balance lipo. Kwa hiyo unazihesabu kama hivyo