Beira Boy
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 19,976
- 32,195
Amani iwe kwenu watumishi wa MUNGU
Ngoma inaitwa SUMU imeimbwa na Farid kubanda FidQ
Ina maneno ambayo yaanza kwa kisukuma lakin nitayatafasiri
Kwakifupi Ngoma hii imesheheni ujumbe mzito sana
Watukuobhutaga magulu wakusege, kwalounguno ya bhulema wako,
Bhene bhalelemeja bhango jako douhu udume kupandeka shikolo,
Nahange eyeneyo he SUMU nh'ale gete umu Bhanu bha shinkou eji
Na hange ubhogohe wabhanuo bhenabho gete
Natafasiri sasa kwa kiswahili twende pamoja
Hawatakuvunja miguu ili wakucheke kwa sababu ya ulemavu wako, wao watazuia Aman na nyota yako tu yaan watafifisha nyota yako ili usipate kitu chochote tena hiyo kufifisha nyota yako ndo SUMU kali zaid kwa watu wa leo na tena inakupasa na inakubidi uwaogope sana watu wa namna hiyo
Anaendelea kwa kiswahili
Wabongo wa juu hawana upendo wanajigawa
Sipigi goti kama PNC
Usipo situka Africa unaweza zikwa ukiwa hai
Wako radhi kukupa pombe na si pesa ya kula
Haumuui chura kwa kumtupa ndani ya maji
Wema anataka saa ya alimasi , zari anaujali mda
Neno zuri halina ukweli
Na neno lenye ukweli siyo zuri
Kuna mengi sana ya kujifunza
LONDON BOY