Fiesta 2019 Mwanza,Mashabiki watapiga kura na kuchagua wasanii wanaowataka kwenda kufanya show.

Fiesta ilikua zaman bhana,kwa,sasa hakuna
Ktu n chemsha chemsha tu nyama ziife
 
Watu wamepanga foleni uko mwanza kupiga kura tangu asubuhi.
 
Aiseee watu wako busy na kuwachagua wasanii wanaowataka.
Screenshot_20190920-130425.jpeg
Screenshot_20190920-130405.jpeg
Screenshot_20190920-130522.jpeg
Screenshot_20190920-130501.jpeg
 
Kwani hizo kura wakati wa kupigwa utakuwa unaonyeshwa live kuwa fulani ndiye aliyeshinda -'?

Hapo clouds wamesha waandaa wasanii wao hata kama hawato pigiwa kura ..watawapitisha hao hao

Tena kwa namna fulani watafanikiwa kwa kiasi kikubwa kuwaamisha watu kuwa wasanii waliochaguliwa ndio wasanii Bora nchini. ... hao ndiyo clouds bwana. ..hakuna media inayo weza fitina kama hiyo Tz
 
Hawato Tangazo hiyo results .think twice ..that's Waka waandaa wasanii wao kwa kuwa tengenezea jingles za kuomba kura....so hao wasanii wanao omba kura wcb wapo ?
Asilimia mia ya kura zitawataka wcb na hapa ndio kizaazaa kinapoanzia
 
Kwani hizo kura wakati wa kupigwa utakuwa unaonyeshwa live kuwa fulani ndiye aliyeshinda -'?

Hapo clouds wamesha waandaa wasanii wao hata kama hawato pigiwa kura ..watawapitisha hao hao

Tena kwa namna fulani watafanikiwa kwa kiasi kikubwa kuwaamisha watu kuwa wasanii waliochaguliwa ndio wasanii Bora nchini. ... hao ndiyo clouds bwana. ..hakuna media inayo weza fitina kama hiyo Tz
Ni kweli mkuu.
 
Hivi kuna mtu humu wa 30+ anaendaga fiesta kama yupo ajitafakari
 
Mi nimewaza ina maan wasanii wa Bongo hawanaga ratiba zingine? Atakae chaguliwa kama atakua na ratiba ya show kwingine ktk siku hiyo mashabiki watajuaje.?

Tasnia ya michezo na burudani haitakua kama itaendelea kudeal na akili za watoto.
 
Kwani hizo kura wakati wa kupigwa utakuwa unaonyeshwa live kuwa fulani ndiye aliyeshinda -'?

Hapo clouds wamesha waandaa wasanii wao hata kama hawato pigiwa kura ..watawapitisha hao hao

Tena kwa namna fulani watafanikiwa kwa kiasi kikubwa kuwaamisha watu kuwa wasanii waliochaguliwa ndio wasanii Bora nchini. ... hao ndiyo clouds bwana. ..hakuna media inayo weza fitina kama hiyo Tz
Wow [emoji123][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Wote wakimtaka Diamond? Au ni kupanga matokeo?
 
Back
Top Bottom