Fiesta 2019 Mwanza,Mashabiki watapiga kura na kuchagua wasanii wanaowataka kwenda kufanya show.

Fiesta 2019 Mwanza,Mashabiki watapiga kura na kuchagua wasanii wanaowataka kwenda kufanya show.

Tamasha lenyewe limepoozaaa!!! Hakuna kama Ruge aiseee!!! Malkia wa nguvu, yaani Ruge watu watakukumbuka...

Tangu runge alipo ondoka hakuna tena tamasha mjini la wasanii, yaani shida tupu hata hii fiesta wameshindwa kuitengenezea kiki i hit imepooza sana.....
 
Back
Top Bottom