Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ha ha haHaahahahha wewe mimi nimesoma kabisa na vyeti nnavyo.
Kwahiyo alikiba ndio aliweza kuimba vizuri na hiyo live band?Kwahyo ilikosekana msanii wa nje mmoja... Hv yule TI aliimba nini cha maana... Ukweli usio pingia wasanii wa bongo hawawezi kuimba na live band ukimtoa alikiba,barnaba .... Ila hao wa nje ndio hawawezi kabisa..
Mara paaap tumekusoma... Efm
Ndugu wale jamaa wa nje kwa kuimbia bendi ni hatari sana tena wote. Kinachofanyika ni kwamba wakija huku wanadharau show tunazoandaa, wanapiga ili mladi wanajiondokea. Tatizo kubwa wanapokuja sisi tunakuwa tunahitaji kuwaona kiuhalisia zaidi kuliko kile kinachowaleta. Na wao wakishagundua hivo wanajitikisatikisa pale jukwaani kwa saa na nusu au mawili nanasema "THANK YOU, I LOVE TANZANIA" tynapiga makofi wanashuka. Kwa show ya jana, haijawahi tokea fiesta mbovu kama ile na sijui kama itakuja itokee!Kwahyo ilikosekana msanii wa nje mmoja... Hv yule TI aliimba nini cha maana... Ukweli usio pingia wasanii wa bongo hawawezi kuimba na live band ukimtoa alikiba,barnaba .... Ila hao wa nje ndio hawawezi kabisa..
Mara paaap tumekusoma... Efm
Sisi serikali tuliligundua hili na ndio maana tulikuwa tunataka liishe saa mbili tu! Hakuna kitu!!!! Ona mmeibiwa hela zenu sasa, bora uangalie mpira kibanda umizaBaada ya wao kugundua vyuma vimekaza wakaja na kauli mbiu ya "local artists", wakijinasibu kua sasa wamezamilia kuifanya bongo fleva kua ya kimataifa na uzalendo kwanza, sasa matokeo yake yamekua ndivyo sivyo na local artists wame wa prove wrong waandaji kua local maana yake ni upuuzi na grade ya chini kabisaa.
Asilimia 75 ilijaa wasanii ambao bado hata hawajatoka, hawafahamiki popote ukitoa instagram, mbaya zaidi wanaimba ujinga sanaa na hawawezi kabisa kuimba na live band, na wanapenda kufuatilia cd 'play back'.
Wasanii kuligeuza jukwaa kua sehemu ya kupiga stori, kuita wasanii wengine waje wawasaidie kuimba na kuanza kubembelezana kimapenzi ili washangiliwe.
Mic mbovu, mara zikate mara zisiskike, upuuzi sanaa.
Maigizo ya bongo movie kwenye bongo fleva, non sense sanaaa.
Wasanii walikua kama wana fatigue, hawana hamsha hamsha yoyote, walikula laki tatu tatu za wandaji za bure tu.
Kwa matangazo yalivyokua na mbwembwe za kupiga mpaka asubuhi, alafu show ya vile hahahaahaha hawa jamaa wezi sanaa, matapeli wakubwa.
UZARENDO?!!!!!Laidy & Gentlemen sio mazuri maneno yenu kabisa, ni maneno ya kukatisha tamaa hasa.
Tusiende kwa ukurasa wa kukosoa twende kwenye kurasa ya kujenga.
Hakuna tamasha linaotoa burudani kubwa kama Fiesta Tanzania hii. unapo ongelea Fiesta unaongelea Utanzania, unapoongelea Utanzania una ongelea UZARENDO.
Tupende na kujari vya kwetu na hii ndio njia rahisi ya kufikia Tanzania tunayo itaka. sio kuvunjana moyo kwa ufahamu wengi mnao uonyesha.
At a chekechea hutoa vyetiHaahahahha wewe mimi nimesoma kabisa na vyeti nnavyo.
Vyovyote iwe ila bahati nzuri umeelewa.UZARENDO?!!!!!
kwel mkuuNilifuatilia live kwenye TV niliishia kusinzia tu, Live concert za bongo bado zina safari ndevu sana.
Werrason nomaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kwel kabisa chief tena ukizoea kungalia sebene awa wabongo utawaaona washenz 2