Laidy & Gentlemen sio mazuri maneno yenu kabisa, ni maneno ya kukatisha tamaa hasa.
Tusiende kwa ukurasa wa kukosoa twende kwenye kurasa ya kujenga.
Hakuna tamasha linao toa burudani kubwa kama Fiesta Tanzania hii. unapo ongelea Fiesta unaongelea Utanzania, unapoongelea Utanzania una ongelea UZARENDO.
Tupende na kujari vya kwetu na hii ndio njia rahisi ya kufikia Tanzania tunayo itaka. sio kuvunjana moyo, kwa ufahamu hafifu wengi wetu tunao uonyesha.
Clouds Team Big up sana, Binafsi najua mnaweza sana, Respect kwenu za kutosha Boss Jooh na Kichwa mtaji Mh Ruge, Mungu awape Maisha marefu kwa kufanya Maisha ya watu wengi yawe rahisi.