Fiesta Dar ni Utapeli Mkubwa

Mkuu ile ni sherehe tu ya wasanii na wapenda Burudani wanakutanishwa pamoja unachangamka na mashabiki wenzako unaweza hata usifuatilie huo mziki wenyewe kuwepo pale tu ni burudani tosha unakutana na totozi za Masaki, Temeke, Kinondoni, Mbagala nk unabaki kushangaashangaa tu km wewe ulifuata perfomance ya wasanii pole sana we unategemea nini wasanii zaidi ya 40 usiku mmoja yale ni maonesho ya kuwaona wasanii live
MARA PAAP IHIIIIIIIIIIII
 
Kwahyo ilikosekana msanii wa nje mmoja... Hv yule TI aliimba nini cha maana... Ukweli usio pingia wasanii wa bongo hawawezi kuimba na live band ukimtoa alikiba,barnaba .... Ila hao wa nje ndio hawawezi kabisa..

Mara paaap tumekusoma... Efm
Kwahiyo alikiba ndio aliweza kuimba vizuri na hiyo live band?
 
Kwahyo ilikosekana msanii wa nje mmoja... Hv yule TI aliimba nini cha maana... Ukweli usio pingia wasanii wa bongo hawawezi kuimba na live band ukimtoa alikiba,barnaba .... Ila hao wa nje ndio hawawezi kabisa..

Mara paaap tumekusoma... Efm
Ndugu wale jamaa wa nje kwa kuimbia bendi ni hatari sana tena wote. Kinachofanyika ni kwamba wakija huku wanadharau show tunazoandaa, wanapiga ili mladi wanajiondokea. Tatizo kubwa wanapokuja sisi tunakuwa tunahitaji kuwaona kiuhalisia zaidi kuliko kile kinachowaleta. Na wao wakishagundua hivo wanajitikisatikisa pale jukwaani kwa saa na nusu au mawili nanasema "THANK YOU, I LOVE TANZANIA" tynapiga makofi wanashuka. Kwa show ya jana, haijawahi tokea fiesta mbovu kama ile na sijui kama itakuja itokee!
 
Sisi serikali tuliligundua hili na ndio maana tulikuwa tunataka liishe saa mbili tu! Hakuna kitu!!!! Ona mmeibiwa hela zenu sasa, bora uangalie mpira kibanda umiza
 
Laidy & Gentlemen sio mazuri maneno yenu kabisa, ni maneno ya kukatisha tamaa hasa.

Tusiende kwa ukurasa wa kukosoa twende kwenye kurasa ya kujenga.

Hakuna tamasha linao toa burudani kubwa kama Fiesta Tanzania hii. unapo ongelea Fiesta unaongelea Utanzania, unapoongelea Utanzania una ongelea UZARENDO.

Tupende na kujari vya kwetu na hii ndio njia rahisi ya kufikia Tanzania tunayo itaka. sio kuvunjana moyo, kwa ufahamu hafifu wengi wetu tunao uonyesha.

Clouds Team Big up sana, Binafsi najua mnaweza sana, Respect kwenu za kutosha Boss Jooh na Kichwa mtaji Mh Ruge, Mungu awape Maisha marefu kwa kufanya Maisha ya watu wengi yawe rahisi.
 
UZARENDO?!!!!!
 
Kama kweli ilikuwa hivyo una kila haki ya kulalamika aise, inasikitisha sana, umenikatisha tamaa, sidhani kama ntaenda kama mambo yenyewe kumbe yako hivyo!
Utapeli kabisa..
 
Mwanzo mgumu. Next time, wasanii wapewe muda wa kufanya Rehearsal ya kutosha pamoja na Band. Tutafika tu, hata Jamaica walianza hivyo hivyo.
 
Sasa Jamaica unaifananisha na Tanzania.
Kwa mwanzo wao Tanzania hatutaweza kuifikia Jamaica, we uoni Katika nchi zenye raha duniani Tanzania imeshika mkia mwisho yeye watatu mwaka 2017.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…