Niliwahi kupata manzi la masaki,fiesta moja hapo Leaderz club yaani hata show sikufuatilia.Love at first meeting ndani ya sekunde nane nikamzimia mtoto.Mkuu ile ni sherehe tu ya wasanii na wapenda Burudani wanakutanishwa pamoja unachangamka na mashabiki wenzako unaweza hata usifuatilie huo mziki wenyewe kuwepo pale tu ni burudani tosha unakutana na totozi za Masaki, Temeke, Kinondoni, Mbagala nk unabaki kushangaashangaa tu km wewe ulifuata perfomance ya wasanii pole sana we unategemea nini wasanii zaidi ya 40 usiku mmoja yale ni maonesho ya kuwaona wasanii live
MARA PAAP IHIIIIIIIIIIII
Hata kama show ilikuwa ya kipuuzi unataka tusifie? hakuna kitu bora ningebaki home nicheck mpira.Laidy & Gentlemen sio mazuri maneno yenu kabisa, ni maneno ya kukatisha tamaa hasa.
Tusiende kwa ukurasa wa kukosoa twende kwenye kurasa ya kujenga.
Hakuna tamasha linao toa burudani kubwa kama Fiesta Tanzania hii. unapo ongelea Fiesta unaongelea Utanzania, unapoongelea Utanzania una ongelea UZARENDO.
Tupende na kujari vya kwetu na hii ndio njia rahisi ya kufikia Tanzania tunayo itaka. sio kuvunjana moyo, kwa ufahamu hafifu wengi wetu tunao uonyesha.
Clouds Team Big up sana, Binafsi najua mnaweza sana, Respect kwenu za kutosha Boss Jooh na Kichwa mtaji Mh Ruge, Mungu awape Maisha marefu kwa kufanya Maisha ya watu wengi yawe rahisi.
Hutakuwa ujui maana ya live halafu unasema et wa nje hawawezi Kumpiga live embu ingia youtube search live performance za T.IKwahyo ilikosekana msanii wa nje mmoja... Hv yule TI aliimba nini cha maana... Ukweli usio pingia wasanii wa bongo hawawezi kuimba na live band ukimtoa alikiba,barnaba .... Ila hao wa nje ndio hawawezi kabisa..
Mara paaap tumekusoma... Efm
Mkuu,nilishaachana na mabongo flavour kitambo sana,hata nikisikiliza au kuingia kwenye shows zao huwa sipati mizuka hata kidogo.Mara ya mwisho niliishuhudia fiesta uwanja wa majengo Moshi...,nothing I gained from those who call themselves artsndo mana mimi ntaishia kuangalia live concert za kongo 2
Washauri wawe wanaenda Msondo Ngoma na SikindeSisi serikali tuliligundua hili na ndio maana tulikuwa tunataka liishe saa mbili tu! Hakuna kitu!!!! Ona mmeibiwa hela zenu sasa, bora uangalie mpira kibanda umiza
Arts=artistsMkuu,nilishaachana na mabongo flavour kitambo sana,hata nikisikiliza au kuingia kwenye shows zao huwa sipati mizuka hata kidogo.Mara ya mwisho niliishuhudia fiesta uwanja wa majengo Moshi...,nothing I gained from those who call themselves arts
Siku hiz natazama live concert kama ww,tazama ngoma kama kisanola,respect na nyinginezo kutoka kwa Mzee mzima Charles Antoile Koffi Olomide Mopao Mokonzi a.k.a Papa Fololo a.k.a Makila Mabe ( hasa zile za zenith),utainjoi sana!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ivi mwanaume mzima rijali unaenda Fiesta kuambiwa 'mikono juu' piga keleleee'. Over my dead body.
πππππIvi mwanaume mzima rijali unaenda Fiesta kuambiwa 'mikono juu' piga keleleee'. Over my dead body.
Ndio shangwe yenyewe hiyo mkuu!Sema Yeeeeeee...sema Yoooooo....wote tufanye hvi...nyoosha mikono juuuu...Upande huu wanategea...hz ndo shoo za bongo mi huo ujinga hapana kabisa bora niangalie vituko vya Mourinho...yaan nimelipa kiingilio ili nikuone unaimba badala yake mimi ndo naimba tena na mikono nimenyosha juu..upuuzi huo
Bora nikamsikilize mzee wa Bwax kwwnye singeli akiimba liveSema Yeeeeeee...sema Yoooooo....wote tufanye hvi...nyoosha mikono juuuu...Upande huu wanategea...hz ndo shoo za bongo mi huo ujinga hapana kabisa bora niangalie vituko vya Mourinho...yaan nimelipa kiingilio ili nikuone unaimba badala yake mimi ndo naimba tena na mikono nimenyosha juu..upuuzi huo