Fiesta Dar yabumaaaaa watu wachache

Fiesta Dar yabumaaaaa watu wachache

Brother hizo figisu ni sehemu ya biashara ila ndo vile wabongo tumezoea biashara za kijamaa... walikuwa wanaua ushindani tu japo kwa upande wa jicho la kibinadamu ndo walifanya sio poa

WCB imekua kwa figisu na si ubora wa kazi zao pekee na ndo hivyo hivyo CMG ilikua pia.. wote wamekutana sehemu moja ila hofu ni moja tu Wasafi ikimuweka chini Clouds na yeye itafika kipindi atataka pesa zaidi maana atakuwa na nguvu...

Wanasema usiuamini uaminifu wa mtu mwenye njaa yaani ndo kama Wasafi kwa sasa maana wanatafuta njia tu ndo maana unawaona wapo hivyo japo dalili za kupenda kutawala kila kitu ni jadi ya WCB kama brand.. hivyo akheri Efm ndo angemuweka clouds chini kuliko wasafi ambao wana vinasaba vya CMG
WCB mpaka wamefika pale jua kazi zao ni bora na ndio maana wamewateka watu pamoja na kukosa promo baadhi ya media na ndio maana wapo pale. Huwezi sema kazi zao sio bora wakati kwenye, insta, fb, YouTube, boomplay, sportfy na ITunes wanadominate wao kwa asilimia zaidi ya 60 EA, Nyegezi pamoja ndio imefungiwa lakini sportfy ina wiki 5 inashika namba moja tz.
 
Yani katika vitu vinavyowakosesha amani CLOUDS ni WCB.

Kiukweli tangu fiesta ianzishwe mpaka leo hakuna show mbovu kama show ya jana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani watu walikuwa wachache sana mpaka wakashusha bei za tiketi lakini wapi hakuna aliyeingia mpaka wakaamua watu waingie bure lakini bado wakala za uso.

Clouds waliamua watu waingie bure ili angalau waonekane na wao walijaza ili waje kuvimbia WCB ,Ha ha ha ha daaah sijui walikuwa hawajui kwamba kizuri hujiuza kibaya chajitembeza .

Hiyo yote tisa kumi ni huyo anayejiita King , yani uharo mtupu show mbovu kupindukia mpaka hata clouds wameona aibu kumpost [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .

Kuna haka kalikorubuniwa katoroke WCB kisa ananyonywa ,huyu ni miongoni mwa watu ambao wana majuto makubwa sana kwa sababu kila anachokifanya kinabuma na anazidi kufubaa tu kila kukicha ,angalia hata nguo alizovaa jana ,ni aibuuuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Twende kwenye show sasa mpaka huruma angalau kidoooogo alipoimba Kokoro .

Clouds wamshukuru sana Chidibenzi angalau aliamsha amsha kidogo wengine wote chaliiiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

#HAWAAMINI WANACHOKIONA#

#SANAA IMEZALIWA UPYA#

#MCHEZO USIUCHEZEE WEWEE# KABISAAAAAAAA#.
Msidhani hatujui mlichokifanya na bwn Albert wenu ili kudhoofisha jitihada za Tamasha hilo ile Nov 22.

Hata hili kufanyika ni jitihada za kina Afande Mambosasa kujenga PR kwa jamii. (Najua unaekewa ila utatufanya mazuzu kwa kupima upepo)

Kama unataka tuchafue Air condition endelea tutaweka yote hapa; including the whole stupid mission (Mozambique) iliyosababisha Fiesta ya awali isifanyike!!
 
Brother hizo figisu ni sehemu ya biashara ila ndo vile wabongo tumezoea biashara za kijamaa... walikuwa wanaua ushindani tu japo kwa upande wa jicho la kibinadamu ndo walifanya sio poa

WCB imekua kwa figisu na si ubora wa kazi zao pekee na ndo hivyo hivyo CMG ilikua pia.. wote wamekutana sehemu moja ila hofu ni moja tu Wasafi ikimuweka chini Clouds na yeye itafika kipindi atataka pesa zaidi maana atakuwa na nguvu...

Wanasema usiuamini uaminifu wa mtu mwenye njaa yaani ndo kama Wasafi kwa sasa maana wanatafuta njia tu ndo maana unawaona wapo hivyo japo dalili za kupenda kutawala kila kitu ni jadi ya WCB kama brand.. hivyo akheri Efm ndo angemuweka clouds chini kuliko wasafi ambao wana vinasaba vya CMG

sio mbaya akija mnyonyaji mwingine tupumzike na awa clouds, sugu analeta mradi wake mkubwa wa malaria wanaunyanganya juu kwa juu halafu wanasema ni ushindani wa kibiashara wakati wanaitumia ikulu na january makamba. msanii akianazisha tamasha lake wanaleta na wao la kwao siku hiyo hiyo kummaliza, leo watu wakiwafunika wanaonekana wabaya kumaniiiner zao wapotee tu hakuna hasara nchi itayopata kama ni burudani tutaipata kwa wasafi na efm.
 
WCB mpaka wamefika pale jua kazi zao ni bora na ndio maana wamewateka watu pamoja na kukosa promo baadhi ya media na ndio maana wapo pale. Huwezi sema kazi zao sio bora wakati kwenye, insta, fb, YouTube, boomplay, sportfy na ITunes wanadominate wao kwa asilimia zaidi ya 60 EA, Nyegezi pamoja ndio imefungiwa lakini sportfy ina wiki 5 inashika namba moja tz.
Brother kuna kitu kinaitwa brand... Brand inapokuwa kubwa wala haihitaji promo nyingi na isitosh

1. WCB imekua katika wakati ambao nguvu ya mitandao ishaanza kuwa kubwa sana hivyo, vyombo vya habari visingeweza kuua nguvu yao.. Nyakati imewapa advantage ukilinganisha na groups nyingine zilizowahi kutokea Bongo

2. WCB imeanzishwa kipindi ambacho Diamond yupo juu kama msanii hivyo haikuhitajika nguvu sana kuipush maana tayari kulikuwa na brand kubwa nyuma yake

3. WCB imekuwa kubwa pia kwa kiki nyingi sana yaani publicity ilikuwa ya hali ya juu na kubwa kuliko ni kuwahusisha madada waliokuwa wakitamba bongo kama Wema, Aunt, Wolper na hata kumuinua mtu kama Zari.. kuweka familia za watu wa WCB on public unadhani ilikuwa bahati mbaya..

Yapo mengi tu yanayoonesha WCB kuwa brand inayoegemea zaidi vitu kama hizo kuliko kazi wanazozifanya... ni SHOWBIZ tu kama unaelewa
 
We umesema imekuwa kwa figisu , alafu kiki ili ikiki lazima uwe na content nzuri, hamorapa kila akitoa nyimbo lazima afanye kiki lkn mwisho wa kachemka. Kiki bila content lazima utaoekana kituko.
 
sio mbaya akija mnyonyaji mwingine tupumzike na awa clouds, sugu analeta mradi wake mkubwa wa malaria wanaunyanganya juu kwa juu halafu wanasema ni ushindani wa kibiashara wakati wanaitumia ikulu na january makamba. msanii akianazisha tamasha lake wanaleta na wao la kwao siku hiyo hiyo kummaliza, leo watu wakiwafunika wanaonekana wabaya kumaniiiner zao wapotee tu hakuna hasara nchi itayopata kama ni burudani tutaipata kwa wasafi na efm.
Ungejua kuwa Wasafi ni sura mpya ila miguu ya zamani wala usingejipa stress...

Nikuambie tu bro, hii ni njama ya kibiashara kuua ushindani yaani pale unapopata mshindani kama Efm bhasi unaanzisha biashara ile ile kama Wasafi alafu unaipambanisha na biashara yako kama Clouds.. automatically Efm atapoa tu kwenye ushindani maana attention yote inaondoka na ndo hali wanayopambana nayo Efm

Wasafi nao pia wanakaa karibu na serikali, Unadhani wanakaa bure au wanakitafuta kile kile kilichowapa nguvu Clouds..
Narudia mkombozi wa Tasnia hii ni pale kutakapokuwa na vituo vingi vya habari vyenye nguvu zinazowiana na matamasha ya namna hiyo vile vile ili msanii awe na nguvu ya kupinga unyonyaji

Ikikua Wasafi na kuongoza league..hapo inazaliwa clouds nyingine
 
Fiesta ikifa ni watu wengi sana wataumia mbali na clouds, nilitegemea utataja makosa lakini pia utatoa hata mwanzo wa nini unadhani kifanyike

Mnaoshabikia kufa kwa Fiesta na Clouds ilhali mnaishabikia wasafi bhasi hamjielewi..monopoly wote duniani hawana tofauti katika kutaka super normal profits. Kushindwa kwa mavoko sio kitu cha kufurahia maana itafika kipindi wasanii wa WCB nao watakabwa shingo na kwa hofu ile ile ya kutotoboa bila WCB kama ilivyokuwa clouds..watanyonywa zaidi

Nachoona kuwe na Festivals mbalimbali ili nguvu ya wasanii iwe kubwa maana akikosa Fiesta ataenda wasafi au mziki mnene..hii ndo itakuwa solution

nampendaga huyo kaka kw avatar yKo😊
 
Yani katika vitu vinavyowakosesha amani CLOUDS ni WCB.

Kiukweli tangu fiesta ianzishwe mpaka leo hakuna show mbovu kama show ya jana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yani watu walikuwa wachache sana mpaka wakashusha bei za tiketi lakini wapi hakuna aliyeingia mpaka wakaamua watu waingie bure lakini bado wakala za uso.

Clouds waliamua watu waingie bure ili angalau waonekane na wao walijaza ili waje kuvimbia WCB ,Ha ha ha ha daaah sijui walikuwa hawajui kwamba kizuri hujiuza kibaya chajitembeza .

Hiyo yote tisa kumi ni huyo anayejiita King , yani uharo mtupu show mbovu kupindukia mpaka hata clouds wameona aibu kumpost [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] .

Kuna haka kalikorubuniwa katoroke WCB kisa ananyonywa ,huyu ni miongoni mwa watu ambao wana majuto makubwa sana kwa sababu kila anachokifanya kinabuma na anazidi kufubaa tu kila kukicha ,angalia hata nguo alizovaa jana ,ni aibuuuuuuu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Twende kwenye show sasa mpaka huruma angalau kidoooogo alipoimba Kokoro .

Clouds wamshukuru sana Chidibenzi angalau aliamsha amsha kidogo wengine wote chaliiiiiiiiii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

#HAWAAMINI WANACHOKIONA#

#SANAA IMEZALIWA UPYA#

#MCHEZO USIUCHEZEE WEWEE# KABISAAAAAAAA#.
Huku ndio kubuma?,huoni hii nyomi?
IMG-20181223-WA0060.jpeg
IMG-20181223-WA0059.jpeg
IMG-20181223-WA0058.jpeg
 
Imebuma kama ccm 2020[emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
  • Thanks
Reactions: lun
We umesema imekuwa kwa figisu , alafu kiki ili ikiki lazima uwe na content nzu, hamorapa kila akitoa nyimbo lazima afanye kiki lkn mwisho wa kachemka. Kiki bila content lazima utaoekana kituko.
Ukitafuta nyimbo zenye content nzuri WCB ni chache na tena hazina kiki sana kama zile ambazo zimeegemea katika ngono.. Kidogo muweke mbosso na lavalava kwani ndo wanaegemea katika content na hii ndo inaipa WCB utofauti

WCB imeegemea katika nyimbo zinazowasisimua watu kingono maana ndo zinazopendwa sana na wateja wao.. kingine ni KIKI ambayo tunaita Publicity, yaani wao wakae midomoni mwa watu tu maana inawasaidia pale wanapotoa songs

Hivi ni mara ngapi Diamond anapingwa kuhusu kuzalilisha wanawake lakini mbona haachi.. wanaompinga sio wateja wake maana wateja wake ni wale wanaokuwa proud na vitendo vyake na ndo maana vijana hawaoni aibu kujiita platnumz..

Yaani hii topic ni ndefu ila jua tu kama umesomea biashara au marketing alafu ukawa ushapita kwenye hizi field na pia kuwa strategist.mbona wanayofanya akina Ruge, Joe na Diamond yanaonekana wazi ukitoa hisia za kishabiki
 
IK ..usijali hata na mimi nipo hivyo hivyo [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4] utanipenda pia ...(jokin)

😂namfatilia.mno..pia ana kaukomedi😊😊 na mkaka m1 nimemsahau jina lake tall blak yalah... hongera kwa kuwa na muonekano km wa IK😊😊😊...
 
[emoji23]namfatilia.mno..pia ana kaukomedi[emoji4][emoji4] na mkaka m1 nimemsahau jina lake tall blak yalah... hongera kwa kuwa na muonekano km wa IK[emoji4][emoji4][emoji4]...
Sema sina kichwa cha kunyoa para tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ..
Jombaa nilianza kumkubali Big Brother na life style lake limenyooka sana.
 
Ukitafuta nyimbo zenye content nzuri WCB ni chache na tena hazina kiki sana kama zile ambazo zimeegemea katika ngono.. Kidogo muweke mbosso na lavalava kwani ndo wanaegemea katika content na hii ndo inaipa WCB utofauti

WCB imeegemea katika nyimbo zinazowasisimua watu kingono maana ndo zinazopendwa sana na wateja wao.. kingine ni KIKI ambayo tunaita Publicity, yaani wao wakae midomoni mwa watu tu maana inawasaidia pale wanapotoa songs

Hivi ni mara ngapi Diamond anapingwa kuhusu kuzalilisha wanawake lakini mbona haachi.. wanaompinga sio wateja wake maana wateja wake ni wale wanaokuwa proud na vitendo vyake na ndo maana vijana hawaoni aibu kujiita platnumz..

Yaani hii topic ni ndefu ila jua tu kama umesomea biashara au marketing alafu ukawa ushapita kwenye hizi field na pia kuwa strategist.mbona wanayofanya akina Ruge, Joe na Diamond yanaonekana wazi ukitoa hisia za kishabiki
Unahamisha magoli, au una yako binafsi? Hivi mondi anawadhalilisha wanawake anawabaka? Je Kuna mtu katembea nae ana miaka below 18?

Kiki ktk entertainment ni kawaida Kanye na 50 cent walishafanya walivyoachia album zao, ayo technology ya 50 na goodlife ya Kanye na mauzo ya album zao yakapanda , ila kiki inakubeba ukiwa na content nzuri.

Alafu nyimbo ya matusi ukiitoa Nyegezi zinabaki ngapi? Mbona unakuza au upo basata? Alafu Mondi si mtu wa kwanza kuimba nyimbo zenye tungo tata Kuna wahenga kibao kama Mwanahela mkunaji na mkunwa huona raha ni nani, Issa Matona, Bibi Kidude na Kuna nyimbo msanii nimemsahau inaitwa nyama ya bata, hizi hujasikia.
 
Sema sina kichwa cha kunyoa para tu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ..
Jombaa nilianza kumkubali Big Brother na life style lake limenyooka sana.

ana pesa..jina lake tu ni brand tosha...yupo na mwing8ne anatangazaga kwenya mabahat nasibu mwe namsahau jina..ana vituko😊..una bichwa bovu km la PJm?
 
Unahamisha magoli, alafu una yako binafsi. Hivi mondi anawadhalilisha wanawake anawabaka? Je Kuna mtu katembea nae ana miaka below 18?

Kiki ktk entertainment ni kawaida Kanye na 50 cent walishafanya walivyoachia album zao, ayo technology ya 50 na goodlife ya Kanye na mauzo ya album zao yakapanda , ila kiki inakubeba ukiwa na content nzuri.

Alafu nyimbo ya matusi ukiitoa Nyegezi zinabaki ngapi? Mbona unakuza au upo basata? Alafu Mondi si mtu wa kwanza kuimba nyimbo zenye tango tata Kuna wahenga kibao kama Mwanahela mkunaji na mkunwa huona raha ni nani, Issa Matona, Bibi Kidude na Kuna nyimbo msanii nimemsahau inaitwa nyama ya bata, hizi hujasikia.
Calm down mzee ..
Usipate hisia kwa issue ndogo, nilikujibu tu kutokana na point yako kuwa WCB wamefika walipofika kwa content nzuri. Huwa sipendi personal attacks mzee , attack point zangu

Kama unaona Diamond anavyowatreat wanawake ni sawa hata kwa wanao wa kike au hata dada zako .bhasi siwezi kukupinga

Kingine kama huoni matusi yanayoimbwa kwenye nyimbo za WCB ni sawa na blind patriotism.Pia hata kama matusi yangeimbwa na watu wakubwa kama marais lakini hiyo haialalishi kuwa ni WRONG..WRONG IS STILL WRONG , no matter who or how many people do it ..
 
ana pesa..jina lake tu ni brand tosha...yupo na mwing8ne anatangazaga kwenya mabahat nasibu mwe namsahau jina..ana vituko[emoji4]..una bichwa bovu km la PJm?
Hahaaaa hapana aseee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ..kuna kichwa kibaya na kibovu kumbuka.. changu hakifai kunyolewa para tu ila sio kwamba kina bonde katikati
 
Back
Top Bottom