Fiesta Dar yabumaaaaa watu wachache

Fiesta Dar yabumaaaaa watu wachache

Hahaaaa hapana aseee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ..kuna kichwa kibaya na kibovu kumbuka.. changu hakifai kunyolewa para tu ila sio kwamba kina bonde katikati

😂😂😂sawa mkuu kwahiyo cha pjm nikibaya au kibovu??hahhaa ila kumbuka maendeleo hayana chama
 
[emoji23][emoji23][emoji23]sawa mkuu kwahiyo cha pjm nikibaya au kibovu??hahhaa ila kumbuka maendeleo hayana chama
Nikisema kwa ID yangu hii..noah nyeusi itanihusu lakini unipe tu uhakika wa kuniletea ubwabwa mzuri central daily
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nitaongea
 
Calm down mzee ..
Usipate hisia kwa issue ndogo, nilikujibu tu kutokana na point yako kuwa WCB wamefika walipofika kwa content nzuri. Huwa sipendi personal attacks mzee , attack point zangu

Kama unaona Diamond anavyowatreat wanawake ni sawa hata kwa wanao wa kike au hata dada zako .bhasi siwezi kukupinga

Kingine kama huoni matusi yanayoimbwa kwenye nyimbo za WCB ni sawa na blind patriotism.Pia hata kama matusi yangeimbwa na watu wakubwa kama marais lakini hiyo haialalishi kuwa ni WRONG..WRONG IS STILL WRONG , no matter who or how many people do it ..
Alafu mimi sija panic ww ndio umepanic mpaka Umehamisha magoli.

Mimi kwetu nimezaliwa wa kiume peke yangu na dada zangu wakishafikia 18, sina cha kuwa control kwani siku zote sipendi kuingilia maamuzi ya hisia za wadogo zangu kwani wana maamuzi yao kihisia kama mimi ila nitawashauri, wewe kama unaweza ni ww mi sifanyagi hivyo, ila kama wakihitaji ushauri nitawapa .

Mimi sioni na ndio MAANA ZINAITWA TUNGO TATA, utaelewa unavyojua ww.
 
Alafu mimi sija panic ww ndio umepanic mpaka Umehamisha magoli.

Mimi kwetu nimezaliwa wa kiume peke yangu na dada zangu wakishafikia 18, sina cha kuwa control kwani siku zote sipendi kuingilia maamuzi ya hisia za wadogo zangu kwani wana maamuzi yao kihisia kama mimi ila nitawashauri, wewe kama unaweza ni ww mi sifanyagi hivyo, ila kama wakihitaji ushauri nitawapa .

Mimi sioni na ndio MAANA ZINAITWA TUNGO TATA, utaelewa unavyojua ww.
Wewe jamaaa ase [emoji114][emoji114][emoji114] [emoji16][emoji16]

Hujibu direct ila ukielewa kitu ni lazma nikusome hivyo, nimeshakuelewa mkuu.
[emoji106][emoji106][emoji106]
Tusipoteze nguvu zaidi kwa vitu vilivyo wazi
 
Fiesta ikifa ni watu wengi sana wataumia mbali na clouds, nilitegemea utataja makosa lakini pia utatoa hata mwanzo wa nini unadhani kifanyike

Mnaoshabikia kufa kwa Fiesta na Clouds ilhali mnaishabikia wasafi bhasi hamjielewi..monopoly wote duniani hawana tofauti katika kutaka super normal profits. Kushindwa kwa mavoko sio kitu cha kufurahia maana itafika kipindi wasanii wa WCB nao watakabwa shingo na kwa hofu ile ile ya kutotoboa bila WCB kama ilivyokuwa clouds..watanyonywa zaidi

Nachoona kuwe na Festivals mbalimbali ili nguvu ya wasanii iwe kubwa maana akikosa Fiesta ataenda wasafi au mziki mnene..hii ndo itakuwa solution
Umeongea vyema mkuu,kuwepo kwa matamsha mengi tofaut tofauti ndio kukua kwa game,, Ndio mana hata baada ya Wasafi festival kuanza,hata wasanii ambao walikua hawapati fursa ,wakapata na wao Showz.

Ila shida ipo kwa hawa Clouds,,wanataka kuwepo na Fiesta tu,yani watafanya kila figisu ili hali wawepo wao tu..Na hapa ndo game inakua ngumu kukua.

So clouds wabadilike ,Na wakubali ushindani usio na chuki kwa manufaa ya wasanii wote,

Hili la Fiesta kudoda liwe funzo kwao na kwa wengine wote..
 
Unahamisha magoli, au una yako binafsi? Hivi mondi anawadhalilisha wanawake anawabaka? Je Kuna mtu katembea nae ana miaka below 18?

Kiki ktk entertainment ni kawaida Kanye na 50 cent walishafanya walivyoachia album zao, ayo technology ya 50 na goodlife ya Kanye na mauzo ya album zao yakapanda , ila kiki inakubeba ukiwa na content nzuri.

Alafu nyimbo ya matusi ukiitoa Nyegezi zinabaki ngapi? Mbona unakuza au upo basata? Alafu Mondi si mtu wa kwanza kuimba nyimbo zenye tungo tata Kuna wahenga kibao kama Mwanahela mkunaji na mkunwa huona raha ni nani, Issa Matona, Bibi Kidude na Kuna nyimbo msanii nimemsahau inaitwa nyama ya bata, hizi hujasikia.
Nyama ya Bata kaimba Lil ghetto ft Mzee Yusufu,Na wimbo wa Pole samaki pole wanavyokufanya kaimba A.T,Pia kuna wimbo wa Mama Ntilie ulioimbwa na A.T ft Ray c una maudhui ya kingono ila umeimbwa kwa mafumbo.
 
Ngada sijui zina nini yaani mtu ata awe talent vipi lazima zitaharibu talent yake mf Darassa, ila Chid Benz bado ana fight ila jamaa kamsha jana alafu ana mapafu naona leo kila mtu ana mwongelea yy.Ila hiki kimachowakuta Clouds wakichukulie kama somo waache kugombana na wasanii.
harafu hakua kwenye list, so hakulipwa akawa anaatuomba mashabiki
 
Ukitafuta nyimbo zenye content nzuri WCB ni chache na tena hazina kiki sana kama zile ambazo zimeegemea katika ngono.. Kidogo muweke mbosso na lavalava kwani ndo wanaegemea katika content na hii ndo inaipa WCB utofauti

WCB imeegemea katika nyimbo zinazowasisimua watu kingono maana ndo zinazopendwa sana na wateja wao.. kingine ni KIKI ambayo tunaita Publicity, yaani wao wakae midomoni mwa watu tu maana inawasaidia pale wanapotoa songs

Hivi ni mara ngapi Diamond anapingwa kuhusu kuzalilisha wanawake lakini mbona haachi.. wanaompinga sio wateja wake maana wateja wake ni wale wanaokuwa proud na vitendo vyake na ndo maana vijana hawaoni aibu kujiita platnumz..

Yaani hii topic ni ndefu ila jua tu kama umesomea biashara au marketing alafu ukawa ushapita kwenye hizi field na pia kuwa strategist.mbona wanayofanya akina Ruge, Joe na Diamond yanaonekana wazi ukitoa hisia za kishabiki

Kwaiyo unakusudia kusema washabiki wa domo ni vichwa vibovu a.k.a vifuu tundu?
1545587399699.png
1545587399699.png
1545587399699.png
1545587399699.png
 
Nikisema kwa ID yangu hii..noah nyeusi itanihusu lakini unipe tu uhakika wa kuniletea ubwabwa mzuri central daily
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] nitaongea

😂😂😂acha uwoga ww lol..nitakuletea pilau kbs😊..nitaleta na pepeta uwe unatafuna tafuna unavyosubiri kusomwa kwa kesi yako
 
Ngada sijui zina nini yaani mtu ata awe talent vipi lazima zitaharibu talent yake mf Darassa, ila Chid Benz bado ana fight ila jamaa kamsha jana alafu ana mapafu naona leo kila mtu ana mwongelea yy.Ila hiki kimachowakuta Clouds wakichukulie kama somo waache kugombana na wasanii.
Mimi sijaenda ila mtu aliyeenda pia kaniambia hivyo aliefanya vizuri ni chid benzi nilishangaa kidogo...
 
[emoji23][emoji23][emoji23]acha uwoga ww lol..nitakuletea pilau kbs[emoji4]..nitaleta na pepeta uwe unatafuna tafuna unavyosubiri kusomwa kwa kesi yako
Hapo nambie chochote nafanya maana sio kwa kujali kwa namna hiyo ..uoga nshaeka kando, sema nifanye nini ufurahi[emoji4][emoji4][emoji4]
 
Hapo nambie chochote nafanya maana sio kwa kujali kwa namna hiyo ..uoga nshaeka kando, sema nifanye nini ufurahi[emoji4][emoji4][emoji4]
😂😂kiri kwa kinywa chako kuwa una bichwa baya kama la namba 1😊...bichwa mbonyeo😊😊..lina macontour ya kufa mtu😁
 
Back
Top Bottom