Unahamisha magoli, au una yako binafsi? Hivi mondi anawadhalilisha wanawake anawabaka? Je Kuna mtu katembea nae ana miaka below 18?
Kiki ktk entertainment ni kawaida Kanye na 50 cent walishafanya walivyoachia album zao, ayo technology ya 50 na goodlife ya Kanye na mauzo ya album zao yakapanda , ila kiki inakubeba ukiwa na content nzuri.
Alafu nyimbo ya matusi ukiitoa Nyegezi zinabaki ngapi? Mbona unakuza au upo basata? Alafu Mondi si mtu wa kwanza kuimba nyimbo zenye tungo tata Kuna wahenga kibao kama Mwanahela mkunaji na mkunwa huona raha ni nani, Issa Matona, Bibi Kidude na Kuna nyimbo msanii nimemsahau inaitwa nyama ya bata, hizi hujasikia.