FIESTA: Hii haikubaliki!

Rapherl

JF-Expert Member
Joined
Jun 20, 2012
Posts
3,504
Reaction score
2,256
As per thread ya Compact anasema kwamba wasanii kama Navy Kenzo Fid Q na weusi leo wanafanyiwa usahili ili tu kushiriki tamasha la FIESTA, hii imenishangaza kidogo,

Hivi hii FIESTA ina nini mpaka hawa major Artists waweze kupanga foleni na kufanyiwa usahili ili wafuzu kuwa kwenye hiyo tour?

Clouds wasitake kujifanya wanamiliki hii industry kwamba wanaweza ku order wasanii kufanya wanavyotaka....na nyinyi wasanii amkeni acheni kuwaabudu hao clouds hawana lolote zaidi ya kuwashushia heshima yenu tu....kuna media nyingi sahivi achen kumuabudu huyo Ruge na Clouds yake
Usajili wa wasanii Fiesta 2016
 
Hata mimi sijaelewa hapo kwenye neno usahili, pengine muweka thread alikosea. Huwezi mfanyisha usahili mtu kama Fid Q au Joh Makini usahili wakati ni watu ambao washaprove kilakitu kwenye industry ya Rap/Hiphop Bongo, mi nadhani alimaanisha USAJILI.
 
Sidhani km ni usahili bali itakuwa usajili, yani wana sajiliwa kwa mkataba, ili msanii au hao wazamini wasilete longo longo kwenye upande wa kulipana na kwa msanii sio mkataba unasema atapanda stejini mikoa 5 kwa dakika fulani alafu ye akaleta pozi, mara ohhh sitaki kupafomu lindi kuna vumbi, mfano tu
 
Hata mimi sijaelewa hapo kwenye neno usahili, pengine muweka thread alikosea. Huwezi mfanyisha usahili mtu kama Fid Q au Joh Makini usahili wakati ni watu ambao washaprove kilakitu kwenye industry ya Rap/Hiphop Bongo, mi nadhani alimaanisha USAJILI.
Inashangaza!
 
Nimeamini upeo wa baadhi ya watanzania katika kuelewa mambo ni mdogo sana.!!

Sisi watanzania ni wagumu sana kuelewa vitu.... ,hata sioni sababu ya mtu kuja hapa na kumwaga povu lote hili kwa hoja zisizo na msingi!

Kwanza kama wasanii wenyewe wamekubali wewe kinachokuuma ni nini?

Na hawajasema wanafanya usahili ni USAJILI,hilo neno limetumika vibaya tu ila kwa maana nyingine WANASAINISHA WASANII MIKATABA KWAAJILI YA FIESTA.
 
Si usahili... Ni usajili
Hata mimi sijaelewa hapo kwenye neno usahili, pengine muweka thread alikosea. Huwezi mfanyisha usahili mtu kama Fid Q au Joh Makini usahili wakati ni watu ambao washaprove kilakitu kwenye industry ya Rap/Hiphop Bongo, mi nadhani alimaanisha USAJILI.
 
Ni usajili si usahili ni kama walikuwa wana watambulisha kwa wananchi.....
 
Prof J na mawingu sasa ni wamoja?,naona jamaa wanagonga sana ile ngoma ya singeli ya Profesa...umoja wenye nguvu pekee ndio utawasaidia wasanii wa nchi hii kutonyonywa na hawa Mawingu...
 
bosi ni hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…