Rapherl
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 3,504
- 2,256
As per thread ya Compact anasema kwamba wasanii kama Navy Kenzo Fid Q na weusi leo wanafanyiwa usahili ili tu kushiriki tamasha la FIESTA, hii imenishangaza kidogo,
Hivi hii FIESTA ina nini mpaka hawa major Artists waweze kupanga foleni na kufanyiwa usahili ili wafuzu kuwa kwenye hiyo tour?
Clouds wasitake kujifanya wanamiliki hii industry kwamba wanaweza ku order wasanii kufanya wanavyotaka....na nyinyi wasanii amkeni acheni kuwaabudu hao clouds hawana lolote zaidi ya kuwashushia heshima yenu tu....kuna media nyingi sahivi achen kumuabudu huyo Ruge na Clouds yake
Usajili wa wasanii Fiesta 2016