Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahiyo umefurahi kupotea kwao kwa kugoma kunyonywa? IPO siku walichokidai Leo kitawafaidisha wajukuu zaoMkuu wako wapi sasa hiv wameachana na mziki?
LAbda wewe ndo upeo wa kufikiri mdogo.sio kweli kwamba upeo wetu wa kufikiri ni mdogo.acha dhana potofu mkuuNimeamini upeo wa watanzania katika kuelewa mambo ni mdogo sana.!!
Sisi watanzania ni wagumu sana kuelewa vitu.... ,hata sioni sababu ya mtu kuja hapa na kumwaga povu lote hili kwa hoja zisizo na msingi!
Kwanza kama wasanii wenyewe wamekubali wewe kinachokuuma ni nini?
Na hawajasema wanafanya usahili ni USAJILI,hilo neno limetumika vibaya tu ila kwa maana nyingine WANASAINISHA WASANII MIKATABA KWAAJILI YA FIESTA.
Nimesema baadhi mkuu,wewe uko kwenye kundi lipi kwani!!LAbda wewe ndo upeo wa kufikiri mdogo.sio kweli kwamba upeo wetu wa kufikiri ni mdogo.acha dhana potofu mkuu
Sugu na mapacha wote walishasandaRama D juzi juzi tu katoa nyimbo mpya, Sugu nae na Mapacha wanaendelea na mziki pia...
Mkuu ebu nisaidie kidogo...mawingu wananyonya vipi wasanii..? Kitu gani wanachokidai hao wasanii ..?Kwahiyo umefurahi kupotea kwao kwa kugoma kunyonywa? IPO siku walichokidai Leo kitawafaidisha wajukuu zao
Mtafute Jay d au Mr 11Mkuu ebu nisaidie kidogo...mawingu wananyonya vipi wasanii..? Kitu gani wanachokidai hao wasanii ..?
Ni msanii gani alietoka hadharani akasema ananyoywa na je ananyonywa vipi...?
Walinyonywa nini mkuu...? Ndo shida yangu hapo...nataka nijueMtafute Jay d au Mr 11
Mkuu inaelekea usikilizi radio j d alishaongea vyoteWalinyonywa nini mkuu...? Ndo shida yangu hapo...nataka nijue
Mkuu...ukikaa ukaamua ufatilie hii kitu pande mbili za shillingi hakuna anae nyonywa..hawa walikua na ugomvi binafsi tu..na ugomvi wenyewe ulikua unamuhusisha mmliki wa radio, ndio akaamua nyimbo za jide zisipigwe...Mkuu inaelekea usikilizi radio j d alishaongea vyote