music mimi
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 485
- 876
Nilienda escape one kumuona kiba akifanya live sikuona kipya wala sikuinjoi..Alikiba anafanya vizuri pia.. Jaribu kuangalia show yake ya Sauti za Busara Youtube!!
Ok nitaenda kwa heshima ya Diamond. Ila wakiweza kupiga kama p square live zao itakuwa bomba sana.Njoo 1ist Oct 2016 Escape One uone jinsi DIAMOND PLATNUMZ anavyopiga Live band ndio utajua tofauti,KUMBUKA LIVE BAND KESHAWAHI KUPIGA MARA NYINGI TU,ILA HII YA SASA NI MAPINDUZI YA LIVE BAND.
Hii nchi bana kila kitu kinachochea sijui nini.........acheni hizo bana, kuna time kichwa kinatakiwa kiwe happy, stress weka kule.Fiesta ifutwe haina maadili zaidi ya kuchochea vitendo viovu kwa jamiii....
teh teh teh inaonekana huo wimbo unakupa machungu na una kukumbusha kitu usicho kipenda maishani mwako...Nisicho kipenda kwenye fiesta hii ni clauz na basata kumtembeza msanii MAN FONGO akieneza upuuzi wa kiwango cha juu nchini et HAINAGA USHEMEJI hii kitu siipendi hadi kesho na kwa hili clauz na basata mjipange upya kwa sababu hii ni kinyume kabisa na maadili ya kitanzania.
hii inaboa sana sana
Co moja mkuu..Man fongo ndo hamna kitu kabisa bora angeenda Sholo mwamba mtu ana nyimbo moja tu iliyovuma kidogo mnataka muwaminishe wasukuma kuwa eti nae ni msanii mkali
Kwan walitumia tiket za aina gan..Tra walete report ya makusanyo
khaaaaa!!!fiesta imeanza 2001!Fiesta ifutwe haina maadili zaidi ya kuchochea vitendo viovu kwa jamiii....
Fiesta ya mwaka huu kama imefubaa sijaelewa tatizo ni nini.. Kuna watu wakikosa Fiesta uwezi pata matukio na hamsha hamsha.. Wamlipe vizuri Diamond anogeshe tour yao.. Darasa, God zila, mzee warioba, kalapina, Chid benz pia ni muhimu japo hawana hits ila shughuli yao nzito hao kina bilnas navy kenzo hawawezi kupiga show. Waache kubana matumizi watu wapate burudaniWanamuziki wa B 12 wamefeli. Unamuachaje mtu kama Darasa, Ney wa Mitego, Roma 2030, Kalla Jeremiah, Vanesa Mdee, Lady Jay Dee, Mayunga, Dully Sykes. Upopoma mtupu
Mkuu apo uko sawa kabisa kunasehemu anama , pichu ya manfongo mnato, Yani ni mbaya kabisa hiiJana kulikuwa na ufunguzi wa msimu wa fiesta , na mwamko wa watu ulikuwa mkubwa sana.
Changamoto kubwa ilikuwa kwa waandaaji hasa namna ya uchaguzi wa wasanii waliotumbuiza kuna baadhi ya wasanii hawakustahili kabisa kuwa kwenye jukwaa kubwa kama la jana mfano wasanii kama Nandi, Billnass walionyesha udhaifu mkubwa kulitawala jukwaa labda sababu ya uchanga wao.
Msanii Maua Sama alijitaidi kuimba live lakini bado hakuwa na vibe ya kutosha, aliimba cover nyingi labda kwa sababu ya uchache wa nyimbo zake mwenyewe.
Wasanii wakongwe kama Chege, Madee na Tundaman walijitaidi lakini amsha amsha haikuwa ya kutosha. Kulikuwa na wasanii wengi na tatizo kila msanii alikuwa anaimba nyimbo nyingi hadi inaboa.
Weusi ni moja ya watu wenye shangwe nyingi wanapopanda jukwaani lakini walikuwa na playlist mbovu ya nyimbo zao walishinda kuzipangilia kuleta hamasa.
Msanii mchanga Raymond alifanya vizuri sana alipata shangwe ya kutosha na alijitaidi kwenye connection na mashabiki, Baraka da prince nae alifanya vizuri akiwa nyimbani.
Alikiba alipanda kama suprise nae alifanya vizuri sana japo aliimba wimbo mmoja.
Waandaaji walishindwa kumanage muda Wizkid alipanda jukwaani saa kumi kasaro watu walishakuwa wamechoka ukizingatia walikuwa wamesimama muda mrefu. Wizkid aliimba live na band yake na alilitawala vizuri jukwaa alijiconnect vizuri na mashabiki wake alionyesha kwanini ni msanii star duniani.
NOTE: Wasanii wa Tanzania wanatakiwa kuanza kuimba live band kama tunataka mziki ukue zaidi. Wasanii wa Tanzania wamewekeza zaidi kwenye dancers kuliko kuimba.
Wizkid hakuwa na dancers lakini ile band yake ilijitosheleza kila kitu
View attachment 385166
Nisicho kipenda kwenye fiesta hii ni clauz na basata kumtembeza msanii MAN FONGO akieneza upuuzi wa kiwango cha juu nchini et HAINAGA USHEMEJI hii kitu siipendi hadi kesho na kwa hili clauz na basata mjipange upya kwa sababu hii ni kinyume kabisa na maadili ya kitanzania.
hii inaboa sana sana
Mkuu ulikuwepo kwel au umeadithiwaKiukweli mimi nimeenda haya matamasha ya bongofleva ila sijaona bado wakunishawishi nirudi kumuona kwa mara ya pili zaidi ya lady jaydee. Labda mwenzangu uniambie ni bongofleva yupi anaefanya vizuri kwenye live band nikamshuudie na mimi.
nlicheka sana wizkid alivyopanda watu waliposhindwa kuitikia hata nyimbo1 jaman kukaw kam hakuna watu daaah kilengesa hii inatesa wengi sana
Kuna normal tickets na nyingine walilipa kwa Tigo pesaKwan walitumia tiket za aina gan..
Nchi inataka kodi hii
ADISIWA ndo nini mkuu!?Mkuu ulikuwepo kwel au umeadisiwa
mkuu pole kwa kuchapiwa mkeo mziki ni burudaniNisicho kipenda kwenye fiesta hii ni clauz na basata kumtembeza msanii MAN FONGO akieneza upuuzi wa kiwango cha juu nchini et HAINAGA USHEMEJI hii kitu siipendi hadi kesho na kwa hili clauz na basata mjipange upya kwa sababu hii ni kinyume kabisa na maadili ya kitanzania.
hii inaboa sana sana
Sherehe zisizo na tija zimeshakataliwa na watu wameamriwa wafanye kazi na fedha wazitumie kwenye mambo muhimu sijui ni nani anaidhinisha kuandaa sherehe hizi za kihuni.