Lady Jaydee na King of the best melodies.. Christian Bella... wengine mboyoyo na kelele mingi tu..Live band ndio inaboa zaidi kwa wasanii wa bongofleva bora waimbe playback.. Sijaona bado bongofleva anaepatia live band labda lady jaydee wengine unasikia sound tofauti na muziki halisi na ubolingo unaingilia kati.
dera jipya,chupi ya zamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Co moja mkuu..
Hainaga ushemeje
Hauna
Disco dancer
Chupi la mnato
Panya buku
Hizo ni baaaadhi tu ..... Labda ww ndo humjui huyo jamaa
Labda alikua anamaanisha mwenge.Hii nchi bana kila kitu kinachochea sijui nini.........acheni hizo bana, kuna time kichwa kinatakiwa kiwe happy, stress weka kule.
Lisemwalo lipo.. Inawezekana watu walikula shemeji.teh teh teh inaonekana huo wimbo unakupa machungu na una kukumbusha kitu usicho kipenda maishani mwako...
Huenda Diamond akafanya vizuri si kwa sababu mimi ni fan wake bali jamaa hakufanya haraka kufanya live performance ili mradi tu aonekane anapiga live! Jamaa ameanza muda mrefu sana kujifunza kupiga live... ni zaidi ya mwaka! Lakini kama ambavyo wengi wamesema; kwa Bongo Flavor, live performance bado mgogoro... sioni; labda Banana Zoro lakini wengine wote ni viroja! Na hata huyo Diamond hiyo October 01, sitarajii makubwa sana kv live performance inahitaji coordination kubwa sana kati ya singer na orchestra. Singer unaweza kuwa vizuri lakini ukaangushwa na instrumentalists.Ok nitaenda kwa heshima ya Diamond. Ila wakiweza kupiga kama p square live zao itakuwa bomba sana.
Imechochea nini
Fiesta ifutwe haina maadili zaidi ya kuchochea vitendo viovu kwa jamiii....