Fiesta Mwanza: Wasanii wa Tanzania bado kuna namna jukwaani

Fiesta Mwanza: Wasanii wa Tanzania bado kuna namna jukwaani

Live band ndio inaboa zaidi kwa wasanii wa bongofleva bora waimbe playback.. Sijaona bado bongofleva anaepatia live band labda lady jaydee wengine unasikia sound tofauti na muziki halisi na ubolingo unaingilia kati.
Lady Jaydee na King of the best melodies.. Christian Bella... wengine mboyoyo na kelele mingi tu..
 
Kwa nilichokiona jana kupitia tv yangu ile Ilikua shoo ya madencer sio waimba muziki!!!!

5 bora ya Waliofanya ovyoooo kwa mtazamo wangu ni hawa!!!!


1. Shilole
2. Maua sama
3. Bill nass
4. Madeee
5. Ben poul!!!!

Siku nyingine wawe wanafanya rehasle wiki nzima kabla ya shoo!! Ili wafanye time management nzuri!!! Sound iwe nzuri, vedeo production nzuri na nk!!!!!

Dj wao uyo zero naye ovyo tu!!!!!


Sound ilikua inamapungufu makubwa mnooooooo!!!!!

Shoo haikua na mpangilio, lights nazo kwa kweli hazikuvutia!!!!!

Inshort: SEREOUSNESS BADO!!!
 
Kumpeleka Man fongo mwanza yalikuwa makosa... Man fongo kwake ilikuwa ni kanda ya pwani tuu.
 
Aisee kumbe fiesta ilikuwa jana Mwanza?
Wiki ijayo itakuwa wapi?
Maoni :Wadau wa fiesta waweke special thread hapa Jukwaani ili kuweka kumbukumbu sahihi siku zijazo.
 
Juzi kabla ya show niliuliza hapa, je baada ya ruby, maua, nandy,bilnas kumaliza kuimba nyimbo zao 2 watashuka jukwaani?
Wote mmejionea.
 
Upumbavu wa dalili za. ... ni kuweka wasanii vlazu wengi afu msanii kutoka nje anapanda jukwaani saa kumi.... nshaaapa kupoteza muda wa kwenda kula vumbi na kusimama mpaka miguu ikaingia tumbon. ....no..... badiriken
 
Ok nitaenda kwa heshima ya Diamond. Ila wakiweza kupiga kama p square live zao itakuwa bomba sana.
Huenda Diamond akafanya vizuri si kwa sababu mimi ni fan wake bali jamaa hakufanya haraka kufanya live performance ili mradi tu aonekane anapiga live! Jamaa ameanza muda mrefu sana kujifunza kupiga live... ni zaidi ya mwaka! Lakini kama ambavyo wengi wamesema; kwa Bongo Flavor, live performance bado mgogoro... sioni; labda Banana Zoro lakini wengine wote ni viroja! Na hata huyo Diamond hiyo October 01, sitarajii makubwa sana kv live performance inahitaji coordination kubwa sana kati ya singer na orchestra. Singer unaweza kuwa vizuri lakini ukaangushwa na instrumentalists.
 
Waziri nape anafungia magazeti ya maana
Halafu hili tamasha la kipumbavu linaachwa???
 
live band top ni
christian bella
lady jay dee
tht band

hawa wanaweza kufanya masaa 4 live
 
Back
Top Bottom