Fiesta Mwanza: Wasanii wa Tanzania bado kuna namna jukwaani

brave one

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
4,879
Reaction score
7,386
Jana kulikuwa na ufunguzi wa msimu wa fiesta , na mwamko wa watu ulikuwa mkubwa sana.

Changamoto kubwa ilikuwa kwa waandaaji hasa namna ya uchaguzi wa wasanii waliotumbuiza kuna baadhi ya wasanii hawakustahili kabisa kuwa kwenye jukwaa kubwa kama la jana mfano wasanii kama Nandi, Billnass walionyesha udhaifu mkubwa kulitawala jukwaa labda sababu ya uchanga wao.

Msanii Maua Sama alijitaidi kuimba live lakini bado hakuwa na vibe ya kutosha, aliimba cover nyingi labda kwa sababu ya uchache wa nyimbo zake mwenyewe.

Wasanii wakongwe kama Chege, Madee na Tundaman walijitaidi lakini amsha amsha haikuwa ya kutosha. Kulikuwa na wasanii wengi na tatizo kila msanii alikuwa anaimba nyimbo nyingi hadi inaboa.

Weusi ni moja ya watu wenye shangwe nyingi wanapopanda jukwaani lakini walikuwa na playlist mbovu ya nyimbo zao walishinda kuzipangilia kuleta hamasa.

Msanii mchanga Raymond alifanya vizuri sana alipata shangwe ya kutosha na alijitaidi kwenye connection na mashabiki, Baraka da prince nae alifanya vizuri akiwa nyimbani.

Alikiba alipanda kama suprise nae alifanya vizuri sana japo aliimba wimbo mmoja.

Waandaaji walishindwa kumanage muda Wizkid alipanda jukwaani saa kumi kasaro watu walishakuwa wamechoka ukizingatia walikuwa wamesimama muda mrefu. Wizkid aliimba live na band yake na alilitawala vizuri jukwaa alijiconnect vizuri na mashabiki wake alionyesha kwanini ni msanii star duniani.

NOTE: Wasanii wa Tanzania wanatakiwa kuanza kuimba live band kama tunataka mziki ukue zaidi. Wasanii wa Tanzania wamewekeza zaidi kwenye dancers kuliko kuimba.

Wizkid hakuwa na dancers lakini ile band yake ilijitosheleza kila kitu

1471767883788.jpg
 
View attachment 385166
Hii ya playback iko vizuri tu,sema kuna wasanii hawajui kuendana nayo na haikwepeki kuifanya kuna baadhi ya majukwaa lazima utapiga playback.
Kuna msanii hapo umemtaja yeye alishasema hachezi tena playback,mbona huyo anaendelea na mi- playback ...... DIAMOND kaamua kumiliki kabisa na vyombo sio kwamba atapiga live kisha vyombo vya kuazima kukimbizana na muda hiyo kitu alikuwa hataki.
 
Ngoja tuone Diamond katuletea nini kwenye live band, naamini ataleta mageuzi mapya kwenye bongofleva.
 
Nisicho kipenda kwenye fiesta hii ni clauz na basata kumtembeza msanii MAN FONGO akieneza upuuzi wa kiwango cha juu nchini et HAINAGA USHEMEJI hii kitu siipendi hadi kesho na kwa hili clauz na basata mjipange upya kwa sababu hii ni kinyume kabisa na maadili ya kitanzania.
hii inaboa sana sana
 
Live band ndio inaboa zaidi kwa wasanii wa bongofleva bora waimbe playback.. Sijaona bado bongofleva anaepatia live band labda lady jaydee wengine unasikia sound tofauti na muziki halisi na ubolingo unaingilia kati.
Unazungumzia huyu Jaydee ambaye atikisiki wala hayumbi ......... we bado hujakutana na Live band.
 
mm naona bora wabaki na play back
bongo fleva ukipiga live inakua mbaya mnooooo....
tatizo hawajui kupanga playlist, pia wasanii wachanga wamejaa sana tofauti na zamani...
rnb wamejaa sana pia , fiesta inatakiwa wajae hiphop kwa 7bu wana hamasa kubwa...
na ukizingatia fiesta inajaa sana wanaume..

waangalie wasanii wanaokuja fiesta...
wasanii wapange playlist nzuri..
nadhani kuna haja wakapige kambi kwa master jay na majani wawafunze mziki..
 
Kwenye playlist apo wasanii wa bongo wengi wanachemka sana
 
Unazungumzia huyu Jaydee ambaye atikisiki wala hayumbi ......... we bado hujakutana na Live band.
Kiukweli mimi nimeenda haya matamasha ya bongofleva ila sijaona bado wakunishawishi nirudi kumuona kwa mara ya pili zaidi ya lady jaydee. Labda mwenzangu uniambie ni bongofleva yupi anaefanya vizuri kwenye live band nikamshuudie na mimi.
 
Alikiba anafanya vizuri pia.. Jaribu kuangalia show yake ya Sauti za Busara Youtube!!
 
Kiukweli mimi nimeenda haya matamasha ya bongofleva ila sijaona bado wakunishawishi nirudi kumuona kwa mara ya pili zaidi ya lady jaydee. Labda mwenzangu uniambie ni bongofleva yupi anaefanya vizuri kwenye live band nikamshuudie na mimi.
Njoo 1ist Oct 2016 Escape One uone jinsi DIAMOND PLATNUMZ anavyopiga Live band ndio utajua tofauti,KUMBUKA LIVE BAND KESHAWAHI KUPIGA MARA NYINGI TU,ILA HII YA SASA NI MAPINDUZI YA LIVE BAND.
 
Kumbe unaongelea kitu ambacho bado hata hakijatokea!!!
 
nlicheka sana wizkid alivyopanda watu waliposhindwa kuitikia hata nyimbo1 jaman kukaw kam hakuna watu daaah kilengesa hii inatesa wengi sana
 
Back
Top Bottom