mwanamabadiliko
JF-Expert Member
- Oct 30, 2010
- 938
- 1,540
- Thread starter
- #21
Mbona mapovu ndugu zangu, mi nilikwenda fiesta ila nilichafukwa na vumbi sina hamu. Ila all in all kila binadamu ana hake zake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anyway, mimi sio mhudhuriaji wa FIESTA, ila kwa takwimu zako, kama 50% ni wanafunzi, basi wao ndo wengi kuliko hao wengine wanaogombania 50% iliyobaki.Aisee Fiesta ni show ambayo inakutanisha wasanii wakubwa sana tena wengi kwa pamoja lakini ni show yenye hadhi ndogo kabisa kuwah kutokea. Ni show ambayo mtu mwenyebkipato hutataka kuhudhuria. Ni show ambayo hata mahali inapofanyika hakuna hadhi
Ona list ifuatayo ndio aina ya makundi makubwa yaudhuriao fiesta. Kama unapinga toa facts
1. Boda boda: show ya fiesta ni show inayojaa maboda boda ambao ni watu wa hadhi ya chini
2. Secondary school student: asilimia 50 ya wahudhuriaji wa fiesta ni watoto wa secondary form 1 hadi form 4.
3. Vibaka: siku ya fiesta vibaka wote mjini huudhuria tamasha hilo ambalo wao hutengeneza faida kubwa kwa kuwaibia wengine.
4. Watu walioshindwa shule na kujifanya wanamuziki wakitafuta chimbo la kutoka, fiesta inahudhuriwa na wasanii underground wengi smbao wanatsks kutoka
5. Makahaba wanaojiuza, hawa huwa wote wanahamia fiesta siku ya fiesta ili wapate madanga.
6. Watu wenye hadhi zao ambao huwa ni asilimia moja tu na hii ni kwasababu either wanafanya biashara katika tamasha hili au wamepews kadi za bure za mwaliko na ruge
Na bataAkili za mtoa mada sijui kachaganya na za chura?
Unajitahidi kuandika kiingereza utafika tu.Pathetic ideas
I wonder what kind of school did this foolish attended
He who knows does not speak he who speaks does not know same applied to income situations
Kwa kiingilio cha sh 10,000 unafikiri utapata mtu wa maana,but ni nzuri kwani hata watu wa hali ya chini let them enjoy angalau once kwa mwaka,safi sana Ruge kutukumbuka wa hali ya chini ambao tuko wengiAisee Fiesta ni show ambayo inakutanisha wasanii wakubwa sana tena wengi kwa pamoja lakini ni show yenye hadhi ndogo kabisa kuwah kutokea. Ni show ambayo mtu mwenyebkipato hutataka kuhudhuria. Ni show ambayo hata mahali inapofanyika hakuna hadhi
Ona list ifuatayo ndio aina ya makundi makubwa yaudhuriao fiesta. Kama unapinga toa facts
1. Boda boda: show ya fiesta ni show inayojaa maboda boda ambao ni watu wa hadhi ya chini
2. Secondary school student: asilimia 50 ya wahudhuriaji wa fiesta ni watoto wa secondary form 1 hadi form 4.
3. Vibaka: siku ya fiesta vibaka wote mjini huudhuria tamasha hilo ambalo wao hutengeneza faida kubwa kwa kuwaibia wengine.
4. Watu walioshindwa shule na kujifanya wanamuziki wakitafuta chimbo la kutoka, fiesta inahudhuriwa na wasanii underground wengi smbao wanatsks kutoka
5. Makahaba wanaojiuza, hawa huwa wote wanahamia fiesta siku ya fiesta ili wapate madanga.
6. Watu wenye hadhi zao ambao huwa ni asilimia moja tu na hii ni kwasababu either wanafanya biashara katika tamasha hili au wamepews kadi za bure za mwaliko na ruge
Na kwa taarifa yako hao wa hali ya chini unaowaita ndo wanaipa uhai na afya BONGO FLAVOUR.!Aisee Fiesta ni show ambayo inakutanisha wasanii wakubwa sana tena wengi kwa pamoja lakini ni show yenye hadhi ndogo kabisa kuwah kutokea. Ni show ambayo mtu mwenyebkipato hutataka kuhudhuria. Ni show ambayo hata mahali inapofanyika hakuna hadhi