Fiesta ndio show inayohudhuriwa na watu very local, mpaka omba omba

Mbona mapovu ndugu zangu, mi nilikwenda fiesta ila nilichafukwa na vumbi sina hamu. Ila all in all kila binadamu ana hake zake
 
Peleka uchawi wako kule kwan hao sio watu? Huna aibu hata chembe andaa tamasha lako tukuone na wewe kazi kuharishia wenzako mwenyewe mifuko imetoboka huna kitu wenzako wametumia fursa...pambana na hali yako..
 
Pathetic ideas
I wonder what kind of school did this foolish attended
He who knows does not speak he who speaks does not know same applied to income situations
 
Anyway, mimi sio mhudhuriaji wa FIESTA, ila kwa takwimu zako, kama 50% ni wanafunzi, basi wao ndo wengi kuliko hao wengine wanaogombania 50% iliyobaki.

Nadhani so long as na wao ni binadamu kama wewe wa "hali ya juu", huna haja ya kuwabeza.
 
Mada yako haiko fea kabisa. Hao wote ni watanzania na wana haki ya kupata burudani kama wengine na fiesta target yao ni general includes hayo makundi. Kwanza fiesta ni TAMASHA so tofautisha tamasha na vitu vingine ulivyovizoea ambavyo vimetenga VIP, VVIP etc.

Acha dharau mkuu au kwa kuwa upo free nyuma ya keyboard ndo unatupa uharo tu hapa.
 
Kwani hao sio watu? Acha dharau. We mwenyewe inaonesha muhudhuriaji mzuri ndio maana umekuja kutoa povu hapa! Au wamekukwapulia?
 
Sasa kama mtu anakiingilio chake 10,000 asiingie kwakua yeye bodaboda??
 
ni kweli mkuu, uwezi kukuta mtu anaheshima zake anaenda kutazama ujinga huo
 
Pathetic ideas
I wonder what kind of school did this foolish attended
He who knows does not speak he who speaks does not know same applied to income situations
Unajitahidi kuandika kiingereza utafika tu.
 
Kwa kiingilio cha sh 10,000 unafikiri utapata mtu wa maana,but ni nzuri kwani hata watu wa hali ya chini let them enjoy angalau once kwa mwaka,safi sana Ruge kutukumbuka wa hali ya chini ambao tuko wengi
 
Kwa hiyo.? Starehe ni ya wenye pesa tu? HOvyo kabisa ww akili za chato hizo.
 
Haohao unaowadharau ndo wanawapa wasanii na kina Ruge jeuri ya kuishi mjini
 
Na kwa taarifa yako hao wa hali ya chini unaowaita ndo wanaipa uhai na afya BONGO FLAVOUR.!
 
Ubinafsi haujawahi kumuacha mtu salama...usijione bora sababu ya mavazi, makazi, kipato au anything...jali watu..waone wote ni sawa...usibague..usiishi kwa matabaka...aliyekupa wewe leo ndiye atakaye mpa yeye kesho.
Binadamu tunajisahau sana (kujitoa akili)...mkuu inaonesha una kiburi cha uzima.. be humble [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…