P pera Senior Member Joined Jul 19, 2011 Posts 148 Reaction score 16 Oct 27, 2013 #141 hahaha!! Nawasubiri wazee wa kubwabwaja kesho. Hawa jamaa ni shida bora mi nilibaki home. Wanatakiwa wajipange tena sana. Mambo eatv
hahaha!! Nawasubiri wazee wa kubwabwaja kesho. Hawa jamaa ni shida bora mi nilibaki home. Wanatakiwa wajipange tena sana. Mambo eatv
Y Yusuph Issa JF-Expert Member Joined Jun 20, 2013 Posts 528 Reaction score 82 Oct 27, 2013 #142 pera said: hahaha!! Nawasubiri wazee wa kubwabwaja kesho. Hawa jamaa ni shida bora mi nilibaki home. Wanatakiwa wajipange tena sana. Mambo eatv Click to expand... nahisi laana inaanza kuwafikia hawa jamaa but lazima watahujumu na tamasha la eatv!
pera said: hahaha!! Nawasubiri wazee wa kubwabwaja kesho. Hawa jamaa ni shida bora mi nilibaki home. Wanatakiwa wajipange tena sana. Mambo eatv Click to expand... nahisi laana inaanza kuwafikia hawa jamaa but lazima watahujumu na tamasha la eatv!
Mdakuzi JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 4,294 Reaction score 6,872 Oct 27, 2013 #143 data said: show iko mzuka kama na wewe uko high...kama vp lala,.. Click to expand... Bila shaka unaona aibu sasa kwa ubishi wako na kilichotokea Fiesta ya jana. Wewe uko nyumbani unatubishia sisi tuliokuwa kwenye show.
data said: show iko mzuka kama na wewe uko high...kama vp lala,.. Click to expand... Bila shaka unaona aibu sasa kwa ubishi wako na kilichotokea Fiesta ya jana. Wewe uko nyumbani unatubishia sisi tuliokuwa kwenye show.
Mdakuzi JF-Expert Member Joined Apr 6, 2012 Posts 4,294 Reaction score 6,872 Oct 27, 2013 #144 data said: mbona naskia wanachukua laki 5 kila wapandapo jukwaa la fiesta..... Click to expand... Diamond ndo laki 5. Hawa wengine ni mwendo wa laki 2 hadi 3.
data said: mbona naskia wanachukua laki 5 kila wapandapo jukwaa la fiesta..... Click to expand... Diamond ndo laki 5. Hawa wengine ni mwendo wa laki 2 hadi 3.