fiesta....

fiesta....

hahaha!! Nawasubiri wazee wa kubwabwaja kesho. Hawa jamaa ni shida bora mi nilibaki home. Wanatakiwa wajipange tena sana. Mambo eatv
 
hahaha!! Nawasubiri wazee wa kubwabwaja kesho. Hawa jamaa ni shida bora mi nilibaki home. Wanatakiwa wajipange tena sana. Mambo eatv

nahisi laana inaanza kuwafikia hawa jamaa but lazima watahujumu na tamasha la eatv!
 
show iko mzuka kama na wewe uko high...kama vp lala,..

Bila shaka unaona aibu sasa kwa ubishi wako na kilichotokea Fiesta ya jana. Wewe uko nyumbani unatubishia sisi tuliokuwa kwenye show.
 
Back
Top Bottom